Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA



Kuna vyama havina mwenyekiti na havifutwi,

Kuna vyama havifanyi hata vikao vya kamati kuu zao, na bado ni vyama hai,

Kuna vyama vinatokea wakati wa uchaguzi tu na kwenye sherehe za uhapisho na msajiri anaviacha

Chaguo la watanzania wengi, chadema wakisema kitu ni mabarua kibao πŸ˜„
 


Uncle vita ya panga umekuja na bunduki haha
 

Dah hivi haya yote huwa unaandika kwa faida ya nani?
 
sio vizuri kuendekeza upotoshaji, uongo na uzushi usio na maana kuhusu vyama vya siasa nchini gentleman.

chadema inastahili kufutwa kwasababu ya ukiukaji wa sheria za nchi wa wazi wazi na usio na shaka.
Na hakuna namna chama hicho kinaweza kukwepa hatua hiyo muhimu sana ya kukifutia usajili πŸ’
 
Kabla hajafany⁹a hivyo ahakikishe ameshafanikiwa kuwafutia usajili ccm!
Ushauri na mapendekezo yangu mahususi kwa msajili wa vyama vya siasa nchini ni dhidi ya chadema kufutiwa usajili na sio vinginevyo gentleman πŸ’
 
Mwalimu Pascal Mayalla, Tumsifu Yesu Kristo.

kwanza kabisa nashukuru kwa kuunga mkono ushauri na pendekezo langu kwa msajili wa vyama vya siasa nchini dhidi ya chadema kufutiwa usajili.

lakini pili pole kwa majukumu na hongera kwa kazi za leo.

Mwalimu,
nimechelewa kureply comment yako ili kuepuka kuingia kichwa kichwa, kwasababu ndani yake umeambatanisha reference za kutosha kama kawaida yako as professional journalist but also a full lecture of law.
Kwasababu hizo, imenichukua muda mrefu kidogo wa kusoma na kutafakari niandike nini kuhusu comment yako muafaka sana juu ya hoja yangu.

Further more,
nimesoma kwa umakini sana bandiko lako la tar Oct.26.2013 Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Na nikafuatilia conversation yako na katibu mkuu wa chadema wakati huo Dr.Slaa, lakini pia na maelezo ya msemaji wa chadema J.J.Myika wakati huo, wote wakilenga kuisafisha chadema dhidi ya tuhuma za kua inaendeshwa kwa katiba fake na athari zake ikithibitika kua inaendeshwa kifeki.

Lakini pia,
nimesoma kwa umakini sana bandiko lako la Febr.18.2018 Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba! na nikafuatilia conversation yako na msajili wa vyama vya siasa nchini wakati huo hayati John Tendwa, japo mlikua mkijadiliana kwa lugha ya kisheria ya ndani sana, lakini mahojiano yale yalikua muhimu sana kwa heshima ya vyama vya siasa na ustawi wa demokrasia ya vyama vingi nchini kuzingatia sheria na masharti ya usajili wao.

Katika makala zote hizo mbili nilizozisoma kati ya 4 ulizoziambatanisha kama reference kuihusu chadema, nadhani wadau makini wa JF, sasa wanaweza kuelewa na kukukubaliana na pendekezo langu na ushauri wangu kwa msajili wa vyama vya siasa kuifuta chadema kwenye orodha ya vyama vya siasa nchini, kwasababu tabia ya chadema kukiuka sharia haijaanza leo, na sio mara ya kwanza kwa chadema kukiuka sharia za vyama vya siasa na katiba ya nchi.

2013, 2018 mimi sikuwepo JF, lakini uthibitisho wa chadema kukiuka sheria mara kwa mara upo tena kimaandishi kabisa.
Asante kwa uthibitisho huu kwa uchache mwalimu.

Mwalimu Pascal Mayalla nakushukuru sana kwa kuipa nguvu hoja yangu na uzito unaostahili, tena kwa uthibitisho wa kimaandishi, na kwamba sasa ni wakati muafaka sana kwa msajili wa vyama vya siasa, kuifutilia mbali chadema kwenye orodha ya vyama vya siasa nchini, kwa ukiukaji wake mkubwa sheria za vyama vya siasa na katiba ya nchi.

Nakushukuru sana mwalimu na nakutakia usiku mwema πŸ‘Š
 
 
 
Wazo sahihi, siku za nyuma ccm ilifanikiwa kuua na kifubaza vyama vya upinzani vyenye nguvu. Lakini kwa sasa kizazi kimebadilika, na mbinu zilizofanya kazi huko nyuma kwa sasa zimeshindwa kufanya kazi dhidi ya cdm, kwani cdm sio chama cha siasa tu, bali ni movement. Hivyo namna pekee ni kukifuta, maana kukiua imeshindikana kwani Kiko ndani ya mioyo ya wananchi. Lakini wakati ukuta, haya cdm ifutwe, mwisho wa ccm umeshafika.
 
Naunga mkono hoja.
 
kizazi kipi kimebadlika gentleman?
Mbona mihemko na matusi ndio mmezidisha zaidi nyakati hizi?

au unazungumzia kizazi chako labla huko nyuma kilikua kidogo na sasahivi kimebadlika na kua kikubwa? au sijakuelewa gentleman?

lakini hata na hivyo,
kizazi kubadlika hakutoa likizo au fursa kwa vyama vya siasa kukiuka sharia na masharti ya usajili wao.
Nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba na sio mabadiliko ya ukubwa au udogo wa kizazi chako πŸ’
 
Akisha ifuta ccm na vyama vyake vikaragosi ndiyo aje Chadema.
 
hoja mahususi mezani inahusu chadema gentleman, huna haja ya kuweweseka plz πŸ’
Wewe unanilisha maneno huwa chawa pekee ndiye kiumbe anayelishwa maneno na hatimaye kuyatapika kama yalivyo bahati nzuri mimi siyo chawa.
 
Wewe unanilisha maneno huwa chawa pekee ndiye kiumbe anayelishwa maneno na hatimaye kuyatapika kama yalivyo bahati nzuri mimi siyo chawa.
hizo porojo useless hazina athari zozote kuelekea kufutwa kwa chadema kama ambavyo nimemshauri msajili wa vyama vya siasa nchini gentleman,

ni muhimu sana kua mstahilivu na mwenye subra gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…