Namshauri Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Kuifutia Usajili CHADEMA

Ali Mohamed Shein alitoa kauli hii wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) visiwani Zanzibar.

β€œ wanasiasa vijana ya kutumia fitina, majungu, na kuwaharibia sifa wenzao ili kupata uteuzi au kushinda nafasi za ndani ya chama na serikalini. Alisisitiza kuwa uongozi thabiti unajengwa kwa kuonesha uwezo binafsi wa kiakili na kupendekeza njia mbadala za kutatua kero za jamii.

Gentleman.
 
Yes,
Dr SheIn alieleza ukweli mtupu, kwamba kama vijana, haiwezekani kukaa kimya wakati sheria na katiba ya nchi inakiukwa waziwazi na kwa makusudi halafu tukae kimya.

Lazima tuchukue hatua stahiki,
ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri mahususi kwa mamlaka za serikali sikivu ya CCM, kama vile ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini, kwamba aifute chadema mara moja kwani ina kiuka sheria na katiba ya nchi, na kuvuruga ustawi wa demokrasia ya vyama vingi nchini.

So,
naunga mkono kauli ya Dr SheIn kwa maneno na vitendo. Chadema IFUTWE haraka sana πŸ’
 
Alisisitiza kuwa uongozi thabiti unajengwa kwa kuonesha uwezo binafsi wa kiakili na kupendekeza njia mbadala za kutatua kero za jamii.

Basi vifanyike hivyo alishauri Dr Shein. Tuache siasa za majungu. Chadema sio tatizo.

Ata ikifutwa bado wananchi hatutoacha kunyoosha vidole kutokana na utendaji wa serikali ya sasa.
 
Basi vifanyike hivyo alishauri Dr Shein. Tuache siasa za majungu. Chadema sio tatizo.

Ata ikifutwa bado wananchi hatutoacha kunyoosha vidole kutokana na utendaji wa serikali ya sasa.
wew ndio una hisi chadema sio tatizo, lakini ukweli ni kwamba, sote ni mashuhuda kwamba chadema inakiuka sheria wazi wazi kabisa tena kwa makusudi, na hivyo ina haki ya kufutwa mara moja πŸ’
 
hizo porojo useless hazina athari zozote kuelekea kufutwa kwa chadema kama ambavyo nimemshauri msajili wa vyama vya siasa nchini gentleman,

ni muhimu sana kua mstahilivu na mwenye subra gentleman πŸ’
Sawa mshauri wa msajili,Nyahoza na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…