Serikali mpaka kuagiza chakula nje u angalia uhaba wake... Kwa Sasa hakuna uhaba wa Mchele ndani ya nchi... Bei ya vyakula vimepanda kwene soko la Dunia hakuna nchi ambayo haijakumbwa na price fluctuation kulingana na hali ya kiuchumi ya Dunia... Si Africa si Asia wala Ulaya kote bei za vyakula zipo juuhali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Ni kweli mkuu nikuunge mkono Moja kwa Moja tatizo uongozi unaangalia Hali ya Leo na sio ya kesho ,bei ya chakula imekuwa tishio na serikali sidhani kama wamefanya namna yakuagiza stock maana wakulima wengi walikimbilia kuuza mazao kukabiliana na Hali ya maisha ,kwaiyo mkulima mwenyewe ndio wakwanza kuumia ,pia tumejiachia kulalamika mvua hamna wakati tumezungukwa na maziwa ,mito,na bahari na maeneo yakilimo ila hatuna hata mifereji yakudumu kwaajili ya kilimo Cha umwagiliaji ,kwa ufupi ni umaskini wa ajabu kulalamika njaa ,shida kubwa imekuwa elimu na uzembe ambao unatulazimu tuwe na wawekezaji kwenye sekta ambazo ni Bora tukasomeshe wanafunzi nje huko waje waanzishe kilimo chenye tija hapa bongo kuliko kutegemea wataalamu kutoka SUA ambao hawana maono zaidi yakukaa ofisini,huko wakishindwa kuandaa project muhimu za utatuzi wa kudumuhali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Angekuwa ni Rais mwingine, angechukua huu ushauri wako mapema sana! Ila kwa huyu anaye mtegemea Madelu kumpa ushauri! Aisee sahau.hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Sidhani kama kuna kiongozi anaumizwa na shida zenu kama Watanzaniahali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Sasa wananchi wenyewe hatujielewi nani atakuwa na huruma na sisi?Nchi yoyote wananchi wanaojitambua huwa na viongozi wankuwa makini kiasi.Sidhani kama kuna kiongozi anaumizwa na shida zenu kama Watanzania
Kenya na somalia zenye matatizo ya ukame na uhaba wa misosi ina mpango kazi wa kuzalisha zaidiAngekuwa ni Rais mwingine, angechukua huu ushauri wako mapema sana! Ila kwa huyu anaye mtegemea Madelu kumpa ushauri! Aisee sahau.
hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Sasa wananchi wenyewe hatujielewi nani atakuwa na huruma na sisi?Nchi yoyote wananchi wanaojitambua huwa na viongozi wankuwa makini kiasi.
Baada ya huu Uzi nimeangalia Bei za Mchele, Nchi nyingi ni ghali unafika zaidi ya dola 4, ambayo ni 10,000 huku kwetu, na bei rahisi kabisa ni kama 0.63 ambayo ni kama 1600 (hapo hujausafirisha na kuuleta + kodi na gharama nyengine)Angekuwa ni Rais mwingine, angechukua huu ushauri wako mapema sana! Ila kwa huyu anaye mtegemea Madelu kumpa ushauri! Aisee sahau.
Nyie watu sijui mna elimu gani.. hivi hamjui kuwa mchele wa Tanzania inauzwa nje kwa sababu wa Tanzania ndio bei rahisi kuliko huo wa nje? Unafikiri kungekuwa na mchele bora na rahisi nje ya nchi, unadhani kuna nchi ingekuja kununua mchele wa Tz?Ni kweli mkuu nikuunge mkono Moja kwa Moja tatizo uongozi unaangalia Hali ya Leo na sio ya kesho ,bei ya chakula imekuwa tishio na serikali sidhani kama wamefanya namna yakuagiza stock maana wakulima wengi walikimbilia kuuza mazao kukabiliana na Hali ya maisha ,kwaiyo mkulima mwenyewe ndio wakwanza kuumia ,pia tumejiachia kulalamika mvua hamna wakati tumezungukwa na maziwa ,mito,na bahari na maeneo yakilimo ila hatuna hata mifereji yakudumu kwaajili ya kilimo Cha umwagiliaji ,kwa ufupi ni umaskini wa ajabu kulalamika njaa ,shida kubwa imekuwa elimu na uzembe ambao unatulazimu tuwe na wawekezaji kwenye sekta ambazo ni Bora tukasomeshe wanafunzi nje huko waje waanzishe kilimo chenye tija hapa bongo kuliko kutegemea wataalamu kutoka SUA ambao hawana maono zaidi yakukaa ofisini,huko wakishindwa kuandaa project muhimu za utatuzi wa kudumu
Waziri wake wa kilimo aliruhusu watu wauze mazao nje. Sasa wewe una sema rais anunue mapema? Hii ni akli au matope?hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Kipimo kipi kinachoonesha Hali ni mbaya?hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Huwa nasikia kichefu chefu sana mtu akishindwa kutumia L na R.hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !e
Haunishindi mimi,Huwa nasikia kichefu chefu sana mtu akishindwa kutumia L na R.
Unadhani hawajui? Wanajua sana ila kinachofanyika siku zote ni kudhibiti taarifa wananchi wasijue hali halisi na hatari inayokuja.hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Hata wewe mjinga maana unakera sana kutotumia vizuri R na L.the sunk, unazungumzia takwimu za kwenye makaratasi wakati hali halisi inaonekana kwa macho? wasomi ni wajinga sana,