Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

Serikali mpaka kuagiza chakula nje u angalia uhaba wake... Kwa Sasa hakuna uhaba wa Mchele ndani ya nchi... Bei ya vyakula vimepanda kwene soko la Dunia hakuna nchi ambayo haijakumbwa na price fluctuation kulingana na hali ya kiuchumi ya Dunia... Si Africa si Asia wala Ulaya kote bei za vyakula zipo juu
Kumbe mchele wetu tunauagiza kunako soko la dunia?
 
hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Hawa wachina si ndio wanatulisha Mchele wa plastic?
 
Sisi tunasubiria chakula na sio kuchakura.
 
hali ya chakura ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje,chakura kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, jakaya aliagiza mchele china na japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakura !
Chakura ndio nini? Pumbaf ww
 
Ni kweli mkuu nikuunge mkono Moja kwa Moja tatizo uongozi unaangalia Hali ya Leo na sio ya kesho ,bei ya chakula imekuwa tishio na serikali sidhani kama wamefanya namna yakuagiza stock maana wakulima wengi walikimbilia kuuza mazao kukabiliana na Hali ya maisha ,kwaiyo mkulima mwenyewe ndio wakwanza kuumia ,pia tumejiachia kulalamika mvua hamna wakati tumezungukwa na maziwa ,mito,na bahari na maeneo yakilimo ila hatuna hata mifereji yakudumu kwaajili ya kilimo Cha umwagiliaji ,kwa ufupi ni umaskini wa ajabu kulalamika njaa ,shida kubwa imekuwa elimu na uzembe ambao unatulazimu tuwe na wawekezaji kwenye sekta ambazo ni Bora tukasomeshe wanafunzi nje huko waje waanzishe kilimo chenye tija hapa bongo kuliko kutegemea wataalamu kutoka SUA ambao hawana maono zaidi yakukaa ofisini,huko wakishindwa kuandaa project muhimu za utatuzi wa kudumu
Mkulima yupi umemsikia analalamika? Hao waliorundikana Dar na ulalamishi ndio wakulima? 😆😆
 
Huwa nasikia kichefu chefu sana mtu akishindwa kutumia L na R.
Ndugu yangu huyo we msamehe tu,manake wengi kama na wale kutoka pande za 'nshomile' huwa na tatizo kubwa la kuchanganya L&R............
 
Kwahiyo Mulitaka Mipaka Ifungwe tusiuze mahindi yetu nje ili yajazane ndani ya nchi tuuziane gunia elf 15 hvi munajua bei ya mbolea nyinyi? Tabu ya kulima munaifahamu au ndio kuwanogeeni kulaumu serikal?
 
lusungo sisi kwetu maana yake mtu mwenye deko! hata wakioa huwa hawadumu na ndoa zao ,wanapenda kufuatilia vitu vidogovidogo na ni watu wa lawama sana! asilimia kubwa wamezaliwa kuanzia mwaka 1995 kwa hiyo endelea kung'ang'ana na hiyo r na l mpaka kieleweke!
 
Nyie watu sijui mna elimu gani.. hivi hamjui kuwa mchele wa Tanzania inauzwa nje kwa sababu wa Tanzania ndio bei rahisi kuliko huo wa nje? Unafikiri kungekuwa na mchele bora na rahisi nje ya nchi, unadhani kuna nchi ingekuja kununua mchele wa Tz?
Hata kama ungekuwepo sio kazi ya serikali kuagiza, wanaagiza wafanyabishara
Elewa comment yangu jombaa sio unankimbia tuu kwani serikali ilishindwaje kununua Michele nakuweka kwenye maghala ,wakulima wengi wameuzia nchi nyingi Michele ndio haswa Uganda ,tathmini bei ya Michele Hadi January utajua ninachomaanisha,tumezoea kilimo Cha mvua mkulima akishavuna anaamini 100% mvua ipo matokeo anauza kwa bei ya chini Hadi yeye anaishiwa chakula ,serikali ilipaswa kuwekeza kwenye kilimo Cha umwagiliaji +kuwa na maghala yakutosha,hata huyo mkulima nae anafanya biashara
 
Dar Kuna wakulima? Njoo magi,upite singida nenda Hadi geita utanielewa
Acha kukurupuka,mna dai wakulima wanalalamika ndio nawauloza mnipe jibu Dar kuna mkulima?

Nyie wa Dar endeleeni tuu kulalamika huwezi nunua Kwa bei iliyopo toka huko nenda kalime.
 
Kipimo kipi kinachoonesha Hali ni mbaya?

Afu aliyekwambia chakula ni wali na ugali tuu nani?

Hii dhana nayo inatakiwa Serikali ianze kuelimisha watu dizaini ya mtoa mda..

Nchi hii ina vyakula vya kila dizaini kuanzia mihogo hadi uwele..By the way Mazao yaliyozalishwa msimu ulioisha yako mengi Sana kama Takwimu zinavyobainisha hapa 👇
Kila sehemu huwa na chakula pendwa.
 
Kenya na somalia zenye matatizo ya ukame na uhaba wa misosi ina mpango kazi wa kuzalisha zaidi

Sisi sababu watanzania ni wavivu basi wana taka mpango kazi wa kuagiza tule

Nchi ina raia hii aisee...
Kenya hali mbaya acha kudanganya kwa kifupi tokea 2020 Kenya hali yao ya chakula mbaya sana.
 
Back
Top Bottom