peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Na maji ya kunywa na majumbani wafanyeje?Hali ya chakula ni mbaya sana kwa sasa! ikitokea upungufu wa sukari serikali huwa inaagiza nje, chakula kimepanda bei mara dufu! nyinyi mnaotembelea ma v8 hamjui chochote kuhusu hali hii, Jakaya aliagiza mchele China na Japani ,japo haukuwa mtamu lakini uliokoa sana kipindi kile! Bashe yuko bize na mbolea sijui hata kama amewahi kutembelea masoko ya chakula !