Ukedanganya sababu najua series ya matukio yanayo ifanya Kenya wawe na uhaba wa chakula, kisema Kenya wana mipango mizuri uongo.
2020 East Africa ilikumbwa na ukame ,pamoja na nzige ila Kenya ndio ili haribiwa sana na ukame na hata mazao yao machache waliyo Lima yalishambuliwa na nzige,mpaka WFP wakatoa angalizo kwamba Kenya wanahitaji msaada wa chakula.
Mwaka huo huo wa 2020,Uviko ukasababisha nchi nzima iwe lock down mpaka mwaka jana, so hata mwaka jana hawakulima na mwaka huu ukame.
Kama unacho cha kiprove kauli yako uwanja upo wazi ,ila Kenya wana hali mbaya ya chakula almost miaka yote na Tanzania ndiyo inayolisha Kenya kwa kiasi kikubwa.