Namshauri Serikali iagize mchele nje mapema kabla mambo hayajaharibika

Kumbe mchele wetu tunauagiza kunako soko la dunia?
 
Hawa wachina si ndio wanatulisha Mchele wa plastic?
 
Sisi tunasubiria chakula na sio kuchakura.
 
Chakura ndio nini? Pumbaf ww
 
Mkulima yupi umemsikia analalamika? Hao waliorundikana Dar na ulalamishi ndio wakulima? πŸ˜†πŸ˜†
 
Huwa nasikia kichefu chefu sana mtu akishindwa kutumia L na R.
Ndugu yangu huyo we msamehe tu,manake wengi kama na wale kutoka pande za 'nshomile' huwa na tatizo kubwa la kuchanganya L&R............
 
Kwahiyo Mulitaka Mipaka Ifungwe tusiuze mahindi yetu nje ili yajazane ndani ya nchi tuuziane gunia elf 15 hvi munajua bei ya mbolea nyinyi? Tabu ya kulima munaifahamu au ndio kuwanogeeni kulaumu serikal?
 
lusungo sisi kwetu maana yake mtu mwenye deko! hata wakioa huwa hawadumu na ndoa zao ,wanapenda kufuatilia vitu vidogovidogo na ni watu wa lawama sana! asilimia kubwa wamezaliwa kuanzia mwaka 1995 kwa hiyo endelea kung'ang'ana na hiyo r na l mpaka kieleweke!
 
Elewa comment yangu jombaa sio unankimbia tuu kwani serikali ilishindwaje kununua Michele nakuweka kwenye maghala ,wakulima wengi wameuzia nchi nyingi Michele ndio haswa Uganda ,tathmini bei ya Michele Hadi January utajua ninachomaanisha,tumezoea kilimo Cha mvua mkulima akishavuna anaamini 100% mvua ipo matokeo anauza kwa bei ya chini Hadi yeye anaishiwa chakula ,serikali ilipaswa kuwekeza kwenye kilimo Cha umwagiliaji +kuwa na maghala yakutosha,hata huyo mkulima nae anafanya biashara
 
Dar Kuna wakulima? Njoo magi,upite singida nenda Hadi geita utanielewa
Acha kukurupuka,mna dai wakulima wanalalamika ndio nawauloza mnipe jibu Dar kuna mkulima?

Nyie wa Dar endeleeni tuu kulalamika huwezi nunua Kwa bei iliyopo toka huko nenda kalime.
 
Kila sehemu huwa na chakula pendwa.
 
Kenya na somalia zenye matatizo ya ukame na uhaba wa misosi ina mpango kazi wa kuzalisha zaidi

Sisi sababu watanzania ni wavivu basi wana taka mpango kazi wa kuagiza tule

Nchi ina raia hii aisee...
Kenya hali mbaya acha kudanganya kwa kifupi tokea 2020 Kenya hali yao ya chakula mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…