Mbona huwa unapanic sana kwenye hii mada ya chakula kupanda bei mkuu? We kama ni mkulima fanya yako kwa masilahi yako na sisi tunafanya yetu sasa sio ukiona watu wanalalamika kuhusu gharama za vyakula kupanda unapanic unatamani kuwaziba mdomo.Endelea kusubiria chakula pendwa basi.
Kwa sababu tulipata hasara Sana chini ya uongozi dhalimu wa huyu hapa 👇Mbona huwa unapanic sana kwenye hii mada ya chakula kupanda bei mkuu? We kama ni mkulima fanya yako kwa masilahi yako na sisi tunafanya yetu sasa sio ukiona watu wanalalamika kuhusu gharama za vyakula kupanda unapanic unatamani kuwaziba mdomo.
Ndio maana nakwambia kwamba wewe endelea kutajirika uwe kama Mo kwa hicho kilimo ila sio kutaka watu wasiongee kuhusu gharama za vyakula kupanda, wewe kama ni mkulima na sasa unatajirika kwa kilimo hayo ni masilahi yako na sisi wengine tunaangalia upande wetu pia hivyo kupanic kwako haisadii hapa.Kwa sababu tulipata hasara Sana chini ya uongozi dhalimu wa huyu hapa 👇
Mmm mihogo ya 3000 sawa na kilo moja ya mchele haiwezi kutosheleza famila ya watu 5 kwa mlo wa jioni na kubakia ya brekifasti asubuhi!!!Wengine muda sana tulishahamia kwenye kula mihogo
Ova
Anatoa taarifa kuhusu uhaba wa Chakula ambacho inaweza kuleta madhara hapo baadae wewe upo kwenye L na R Mkuu mpo sawa kweli...anza na kuzima moto kwanza sio kukimbilia kutoa taarifa kwa Katibu Mtendaji ishu ya Lishe umeona sio ya maana ila R..Huwa nasikia kichefu chefu sana mtu akishindwa kutumia L na R.
Nimedanganya nini? Elezea nilicho danganya...Kenya hali mbaya acha kudanganya kwa kifupi tokea 2020 Kenya hali yao ya chakula mbaya sana.
Duh,hivi unajua mamlaka ya rais ww?,mambo mengine soma na kuondoka na jifunze kukaa kimya na sio kitu una andika andika tu .Angekuwa ni Rais mwingine, angechukua huu ushauri wako mapema sana! Ila kwa huyu anaye mtegemea Madelu kumpa ushauri! Aisee sahau.
🚮Duh,hivi unajua mamlaka ya rais ww?,mambo mengine soma na kuondoka na jifunze kukaa kimya na sio kitu una andika andika tu .
Ukedanganya sababu najua series ya matukio yanayo ifanya Kenya wawe na uhaba wa chakula, kisema Kenya wana mipango mizuri uongo.Nimedanganya nini? Elezea nilicho danganya...
Sumbawanga mchele 2600 supa .Chakula kipo cha kutosha huko Mbeya,Sumbawanga na Mbalali wafanyabiashara wametunza ili wauze kwa bei kubwa mpunga upo wa kutosha sana jamaa wanasubiri bei ili wapate faida zaidi..
Mpaka ambao kwao mihogo ni mizizi wanatukejeli kwa kutuita "wala mihogo".Wengine muda sana tulishahamia kwenye kula mihogo
Ova
Nenda kaangalie mipango aliyokuja nayo Ruto kukabiliana na njaa na ukameUkedanganya sababu najua series ya matukio yanayo ifanya Kenya wawe na uhaba wa chakula, kisema Kenya wana mipango mizuri uongo.
2020 East Africa ilikumbwa na ukame ,pamoja na nzige ila Kenya ndio ili haribiwa sana na ukame na hata mazao yao machache waliyo Lima yalishambuliwa na nzige,mpaka WFP wakatoa angalizo kwamba Kenya wanahitaji msaada wa chakula.
Mwaka huo huo wa 2020,Uviko ukasababisha nchi nzima iwe lock down mpaka mwaka jana, so hata mwaka jana hawakulima na mwaka huu ukame.
Kama unacho cha kiprove kauli yako uwanja upo wazi ,ila Kenya wana hali mbaya ya chakula almost miaka yote na Tanzania ndiyo inayolisha Kenya kwa kiasi kikubwa.
Mipango na utekelezaji vitu viwili tofauti. Kwani mipango ya kwenye makaratasi hata Tanzania ipo ishu ipo kwenye utelewa.Nenda kaangalie mipango aliyokuja nayo Ruto kukabiliana na njaa na ukame
Mipango ya Muda mrefu na mfupi
Ndio utaelewa unayo ongea ni nyakati zilizo pita na watu wana angaikia na nyakati zijazo bila kuathiri wakati uliopo
Umeanza kuongea ngojera...Mipango na utekelezaji vitu viwili tofauti. Kwani mipango ya kwenye makaratasi hata Tanzania ipo ishu ipo kwenye utelewa.
Halafu Ruto yupo ndani ya serikali ya Kenya yokea enzi ya Moi, mpaka kuufikia umakamu wa Rais lkn Kenya kwa kipindi kirefu ,chakula wanategemea Tanzania ila kuanzia 2020 hali yao ya chakula imekuwa mbaya mno na yy still alikuwa madarakani.
Hata Tanzania mipango ya kwenye makaratasi tunayo na si Tz nchi zote zina mipango kwenye makaratasi issues inakuja kwenye utekelezaji.