Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa!

Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama”

“Mbowe ni Alfa na Omega ndani ya CHADEMA, na tutakuwa nae hadi azeeke au mpaka CCM itoke Madarakani, na ili CCM iondoke madarakani inahitaji mtu tajiri (wealth man) hivyo hatuwezi kukubali kumpoteza Mbowe hata iweje

Ndo maana ninamshauri Lissu ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo.
Pole zake
 
FS-l9_iXoAEQJ5U.jpg
 
Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa!

Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” YERICKO NYERERE .

“Mbowe ni Alfa na Omega ndani ya CHADEMA, na tutakuwa nae hadi azeeke au mpaka CCM itoke Madarakani, na ili CCM iondoke madarakani inahitaji mtu tajiri (wealth man) hivyo hatuwezi kukubali kumpoteza Mbowe hata iweje” (YERICKO NYERERE)

Ndo maana ninamshauri Lissu ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo.
Pole zake
ngoja nisikupshe asubuhi, nitakuja baadaye.
 
Utafikiri ni wewe uliyehamia juzi Chama pendwa!
Anyways! Achana na simple minds kama hizo,zungumzia sera za Chama pendwa.
 
Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa!

Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” YERICKO NYERERE .

“Mbowe ni Alfa na Omega ndani ya CHADEMA, na tutakuwa nae hadi azeeke au mpaka CCM itoke Madarakani, na ili CCM iondoke madarakani inahitaji mtu tajiri (wealth man) hivyo hatuwezi kukubali kumpoteza Mbowe hata iweje” (YERICKO NYERERE)

Ndo maana ninamshauri Lissu ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo.
Pole zake
Hata mimi nilisikiliza hii clip. Umechagua unachotaka kusema, lakini alivyoeleza Yeriko Nyerere umeongeza chumvi. Yeriko aliongelea uongozi wa juu chama kama ndiyo command ya chama - mwenyekiti, makamu na katibu mkuu. Hujawataja watatu hawa, na yeye aliwataja. Na akasema chama chao kiko imara, na kwa kujibu swali la mwandishi akasema kwa vile chama kikiwa imara ni kwa sababu ya uongozi, chama kikiyumba ina maana ni uongozi pia umeyumba. Na akasema haya ni maoni yake. Lakini alisisitizwa (kwa sababu alirudia kusema) chama chao kiko imara. Sasa hayo ya kumu'single out' Tundu Lissu yametoka wapi?
 
Back
Top Bottom