Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

Nadhani kauli ya waziri ni ngumu kuielewaa kama hujui namna utaratibu unafanya kaziii ilaa Jambo linaloelewekaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo sababu tunataka utaratibu huu wa Waziri usiishie kwa madaktari tu bali pia kwa watumishi wote wa serikali!
 
Najiuliza Mh alipata mafunzo ya itikadi ya chama ambacho yeye ni mwenyekiti?
Nilipoteza muda mwingi sana kusoma na kulielewa Azimio la Arusha.
Kwa ruhusa hiyo,angetakiwa awe nje ya uwaziri.
Katibu wa chama CCM wanafuatilia wayatamkayo viongozi.?
 
Aisee!
Na Vituo vya polis ikifika usiku vigeuke kuwa kampuni binafsi za ulinzi
 
Yelewiiiiii,
Tufwile!
 
Japo hili jambo lipo ofisi nyingi na ofisi nyingine wala hawafichi au hawatafsiri kama kumtoza hela mwananchi ni hongo bali wanaona ni malipo halali kwao mfano: Unaponunua ardhi/nyumba yenye hati kabla ya kufanya uhamisho lazima valuer apate thani ya sehemu husika ili ukalipe kodi halali TRA hao jamaa kukufanyia hiyo kazi sio chini sh 300,000 kulingana na sehemu husika na huyo valua ameajiliwa kwa kazi hiyo, Na usipotoa hiyo hela hakina anayeweza kukufanyia kazi yako.Kwenye halmashauri kuna mwanasheria wa serikali iweje unapotaka kumilishwa ardhi utoe hela na kumpa huyo mwanasheria wa Halmashauri hela ambayo haina rist.Nenda kitengo cha meno hospital, nenda wodi ya upasuaji madaktari huma zao wanauza na unaambiwa una sh? Bila kificho, utaambiwa ya serikali ni sh flani na ya kwetu ni kiasi flani.
 
Kwa kifupi serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wake!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wameanza na bandari kwanzaa kupima upepoo.. sasa Waziri anataka madaktari wawe na ofisi zao ndani ya majengo ya serikali..
Inasikitisha sana, au na kwenye hospitali wanatafuta mwekezaji
 
Inawezekana watawala wamekuwa bewitched Huyu DP world mwarabu keshaleta uchawi wa kiarabu tusubiri tu kupiganishwa tu... kama waliweza mroga Mtume wao sisi Watumwa wao wa milele hawatuachi salama... kosa ni letu kuacha wanawake kuwa viongozi. Uislam unakataza wanawake kuwa viongozi na wakiwa viongozi nchi itaanguka Allah mshamuudhi... bila kuwaondosha hawa mtakoma hadi kiama.. Koran imeandika kuwa Wana akili nusu kwa Mwanaume
 
Tena akome mara Moja
 
Ona anavyojitetea
 
Hahahahahah
Nashauri pia WARUHUSU TUITION shule za serikali Muda wa masomo ukiisha🤣🤣
 
Acha wivu wewe, punguza kiranga. Wewe una akili kuliko waziri? Unadhani katamka kwa bahati mbaya?
Kote umepatia kasoro kuhusu akili tu, uwaziri ni dhamana tu kapewa na isingewezekana watanzania woote au tuseme ma ccm yoote yapewe hiyo nafasi.
Infact nje ya bunge ambako ndimo mawaziri wetu wanamotoka (kikatiba) kuna wa tz maelfu wenye akili na maarifa mengi wapo!.
 
Maandiko matakatifu yalisha ona haya ndio maana yalimuweka nyuma mwanamke kwa kila kitu

Naona sasa tuna shuhudia udhaifu na uelewa wao mdogo wa mambo jinsi ulivyo kwa kila kitu
 
Acha wivu wewe, punguza kiranga. Wewe una akili kuliko waziri? Unadhani katamka kwa bahati mbaya?

kwani waziri anakili? au ana akili kuliko baba yako? au sababu ni waziri umemuona ana akili. jamaa kaelezea vizuri ila akili zenu kama za wafuasi wa chadema
 
Ukitaka kukabidhi private swkta anza nanudhibiti...mfano ewura Latra et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…