Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

Kumbe Bwana Mzee Mwanahudhuri Lucas Mshambwa anaweza kutoa ushauri mzuri tu na hata ule unaokinzana na CCM yetu.

Tena, kwa kuwa ana kinzana na ilani ya CCM apewe maua yake. CCM Oyeee!

Kukinzana na ilani ya CCM kunahitaji ujasiri, Lucas kama anavyosomeka hapa ameonyesha anaweza kuwa amerudiwa na Ufahamu, narudia apewe maua yake! CCM Oyee! .....ujasiri na kukomaa huko kwa akili wa Bwana mzee ndugu mwanahudhuri Lucas Mwashambwa kunaonyesha kuwa, wapo wengi tu wa aina yake CCM, ambao wanaweza kukukataa Mkataba wa Bandari, wanaweza kutoa ushauri kwa SSH kutengua Mkataba huu tata.

Nje ya mada ndani ya mantiki.

Angeshauri pia, kauli ya :Kuziba masikio: itenguliwe!
 
Wewe tu ndio mnyonge. Hivi kwanini umekubali kuitwa mnyonge?
Screenshot_2023-07-27-20-41-38-1.jpg
 
Back
Top Bottom