Namshukuru Mungu zoezi langu la kutoa pesa kwenye simu limeenda salama

jana nimeweka elfu 20 kwenye simu yangu nikataka kutuma kwa ndugu yangu..basi nikaambulia hivi;
nikatuma elfu 18...(nikakatwa 1160)
naye akaenda kuitoa akakatwa 2160
jumla makato 3320 nimelilia moyoni tu

akanipigia simu kunijuza nikamwambia bora usingesema maana nilivyoipata kwa shida unazidi kunihuzunisha moyo wangu bado nahitaji kuishi..msiniambie maumivu bora mkaushie tu. Serikali inatujaza hasira, inatutia huzuni, inatuongezea msongo wa mawazo, inatusukumiza kwenye kifo bila hata sababu.
 
Acha tu kuna jamaa angu alikua na 20000 mpesa bmkubwa wake gesi imekata kamwambia kijana ake kila akiangalia jinsi ya kutuma 19000 makato sijui ni 970 kama sikosei sasa bado bimkubwa kwenda kutoa haitoshi hata kujaza kale kamtungi kadogo .maumivu mno
 
Binafsi ningeiacha humo kufanyia applications za vyuo kwa ndugu na jamaa, kununua LUKU na kulipia king'amuzi mpaka ingeishia kwenye simu
 
"Elfu 6 hiyo, papuchi mbili pale kwenye vyumba vya hapo Buguruni, au mbili za chap chap hapo Chako ni Chako Dodoma"

UZI HUKAMILIKA BILA HAYA MAKADIRIO
 
na hapa umetoa kwa kutumia songesha

yani maumivu plus huku tozo huku riba ya songesha

ila tutafika tu tumeambiwa nchi y ahadi ipo karibuni
 
Hiyo jero iliyobaki humo unga kifurushi kabla serikali haijakubadilishia mafaili [emoji28][emoji28]
Umelipa Tsh500.00 kwenda YATOSHA, (). Makato Tsh 0.00( Ada Tsh 0.00 + Kodi Tsh 0.00). Salio Tsh4.00. Muamala No: MP210730.1935.D14020

Tayari mkuu
 
Umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka enzi zile nguvu za kiume zilikua sio issue Kama ilivyo Sasa. Kuna jamaa yangu jina kapuni mwenyeji wa mkoa mmoja uliokua unamezewa mate na nduli. Huyu jamaa yangu alikua akipata changu mmoja hapo ulipoasema Buguruni Kisha anakwenda Sewa kuongeza steam na safari beer ( enzi zile hakuna vumbi Wala Viagra, nusu konyagi au safari mbili ndio ilikua viagra) Kisha anakwenda kupata changu mwingine kwa buku mbili kabla ya kupanga Basi na kurudi Gongolamboto.
Kumbe na wewe Zero IQ unapajua.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, pole mkuu, kunywa maji kwa wingi, mwili utakaa sawa tu. Ila daah, kuna watu mnavipaji vya kuchekesha watu aiseee, daaah, this is very creative writting! 🀩🀩🀩🀩
 
Napajua mkuu
 
Asante mkuu
 
Umetoa 500,000.00 Tsh. Kwa wakala: ***** *******.Makato Tsh 12,200.00( Ada Tsh 7,000.00 + Kodi Tsh 5,200.00).Salio Jipya Tsh ******. Muamala No: CO210730.1759.D******

Hii ni leo jioni hii, Ni hatari !!!!!!, wacha wakasome Feza tu, haina namna, na bado wanaenda kununulia chanjo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…