Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mii hii mara ya pili mkuu..2017 hapo nilikanyaga moto 😂
Mm niliwahi, nlivyoona dalili ht sikumaliza wiki nkatafuta tiba mana naskia ukichelewa inaweza kupita na kizazi hasa kwa wanaumeMii hii mara ya pili mkuu..
Mara ya kwanza nilikanyaga lava....
Ilikua jeshini...
Unaambiwa ile mpaka daktari alijua sitoboi
Wewe sio dr ,na kama ndio huna akili, umebebwa tuTRA huwezi linganisha na wanataaluma. Sisi tumelelewa kusaidia sio utajiri
Inapangusa kabisa an...Mm niliwahi, nlivyoona dalili ht sikumaliza wiki nkatafuta tiba mana naskia ukichelewa inaweza kupita na kizazi hasa kwa wanaume
Kwenye hili tutamkumbuka sana japo sina Imani na atakaepitishwa na chama kama atajali maslahi yetu!!Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
😂 Mm nilisema sitak kupiga kavu tena ila baada ya mwezi nkarud kupiga kavu mana mzigo ulikuja kwenye hali ambayo Siwez kwenda kufuata kinga kwa muda huo 😂Inapangusa kabisa an...
Sema sasa hivi nimekua mjanja mjanja mkuu naenda kwa taadhari zote an
Wee jamaa sio kosa lako..😂 Mm nilisema sitak kupiga kavu tena ila baada ya mwezi nkarud kupiga kavu mana mzigo ulikuja kwenye hali ambayo Siwez kwenda kufuata kinga kwa muda huo 😂
Huyo anayeniita mbogamboga atakuwa ana hamu ya kuliwa.Wee jamaa sio kosa lako..
Nasemaga we jamaa mshipa wa kujiheshimu huna
Ndio maana kuna mtu anakuitaga mbogamboga humu... Ahahahaha
Ahahahaa hamna kitu kama hiko mkuu..Huyo anayeniita mbogamboga atakuwa ana hamu ya kuliwa.
Mm sio mshipa wa kujiheshimu tuu, mm nna hadi mfupa wa kujiheshimu.
Nisamehe mkuu 😂Ahahahaa hamna kitu kama hiko mkuu..
Naonaga comment zako..
Zimejaa ukorofi ukorofi... Refer kwa ule uzi wa azam...
Ukataka kunidharilisha nje nje ahahahha
Una mambo hovyo sana we jamaa....Nisamehe mkuu 😂