assuredly4
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 1,216
- 220
kwa maneno yako utahukumiwa na kwa maneno yako uahesabiwa haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
klorokwini loya my loya nilianza kuugua hapa. nilikua kila nikikutwangia cm iko busy
kwa hasira nikazima! najuta sasa. come this way hubby naomba u preeze kwangu. mwaaaaah.
..kuna mwanadada kanikataa kisa navutia sana
..nina akili, ukoo unanitegemea kwa ushauri, cdm ndo usiseme. CCm sitaki kuwashauri sababu hawanilipi.
...sichoki haraka kwenye nanii.
.........؛
Wewe si ulisema ukiniona tu unashiba?Kwahio leo niandae tu chakula cha mtoto mkubwa, cha tumbo hapana?
bora tuwekane sawa kuepusha lawama my loya.
Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo.
Nataka viwe vi mapacha. Baada ya kwenda home na kumuangalia boyfie nimeona ana mapungufu, anafaa
kuwa baba, ila sio kuni mimba.
Kuna utafiti uliopostiwa na Dr. MziziMkavu ulionesha sifa za mtoto hutegemea sifa wazazi pia.
Tumekubaliana na boyfie nitafute huyo mwanaume na nijipatishe mimba. Baada ya hapo mimi na yeye tutaendelea na mahusiano, vikinoga vya baba na mama kama vilivo noga vya u boyfie na u galfrend tutafunga ndoa.
Natafuta mwanaume mwenye sifa zote ambao ziwe kwa watotot wangu hao. Huyo mwanaume awe na sifa zifuatazo
Awe mzuri kama kirusha roho changu Ndahani, Charming na lovable kama klorokwini, wawe wanapendwa na opposite sex kama babu Asprin, awe na bahati na pesa kama Bishanga, awe na akili kama Mzee Mwanakijiji, Msiri kama The Boss, ana mvuto kwa jinsia zote kama Kaunga, Mkali kama Invisible, Caring kama Rejao, Mjanja kama Boflo, magnetically Irresistible kama Nyani Ngabu, sauti nzuri na sexy kama fazaa, wa ukweli kama EMT, hasomeki hadi aamue kama Kongosho, creative kama TANMO, macho mazuri kama Erickb52, mpole kama BAK na mwenye busara kama babu Dark City. Awe na bahati kama Mwali.
Kama una hizo sifa niambie.. nitaku pm mwenyewe baada ya kuona kweli nimepata baba watoto wangu.
Mwaaaaaaah. :baby:
Wewe si ulisema ukiniona tu unashiba?
Leo nakuja na pozi la suti ili uvimbiwe.
hehehe natania tu, nitakuja na mahindi ya kuchoma tulishane honey
How do I do it Erotica? Hatujawahi hata siku moja kuonana uso kwa uso...unapenda kupitia maandishi?
Mhhhhh!
Erotica bahati mbaya itabidi usubiri sana...mchumba/baba watoto kama huyu bado hajazaliwa nasikia atazaliwa mwaka 2080...kwani yule aliyeumia nanihii 🙂 ni aje? Hutaki awe Baba watoto wako?
teh teh teh. nakusubiri kwa mshkeli mkali my sweetpie, mie naandaa zangu maji na mbege
iliobaki jana kushushia mahindi tukilishana, tunyweshane kisha tushibishane.
leo mama tunamwachia muvi mpya ya Kanumba aangalie mwenyewe.
Paxman you cute and sweet man wea have you been?
wewe nilisha kuorodhesha no worry, U think i have to think twice? once is enough. mwaaaaaah. Umeniletea zawadi?
Not so fast, young Lady. Lazima uoneshe kwanza kama unastahili kubeba mbegu zangu. So what do I want?
my kirusha roho like you are doing it sasa. my heti goz boom boom boom.
ingekua sio my hunny bunny klorokwini ningekua nime rest in peace siku nyingi.
Maza leo inabidi nimzuge zuge aondoke, leo nakuja kivita bana, parachichi sita na tikiti maji nusu. Think! Erotica think!
![]()
Love, beauty, luxury, strength to our way through .....!
![]()
I am devoted to you and I like the way you write to me this whispers your voice in my ears....
I am ready to ..... and will never regret.... God has blessed me oooh shit lemme tell that He has blessed us I knw ur sooo sweet! I'll never let you go even after getting our twins... lol... 🙂
Maza leo inabidi nimzuge zuge aondoke, leo nakuja kivita bana, parachichi sita na tikiti maji nusu. Think! Erotica think!
Kujiuza kaazi kweli kweli na jukwaa lenu hili. Hapo kwa akili yako lazima mmoja wapo atakushobokea akutongoze. Anyway, hata ukizaa na nani, sura lako baya halitampa nafasi huyo mtoto kuwa mzuri kama hao uliowaona park.
Open marriage ndio mpango mzima bana, heheeh kulaleki! hako kamstari ka mwisho ulikokamalizia kwa ung'eng'e sweetlady akiona lazima atakonda tuI am thinking baby I am. Baby do u see hawa wapita njia? u don't have to
worry our open marriage allows it. as long as it u are not drawn to Kaunga eeh?
Leo i have some thing is stoo for you. it is going to blow you to heaven.