Namtafuta Mama Yangu popote alipo

Namtafuta Mama Yangu popote alipo

Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.

Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu mzazi popote ulipo uisikie sauti yangu hii, Mama kwanini ulinitupa? Kwanini uliniacha peke yangu?
Weka picha yako halisi mama yako aweze kukutambua!
 
Umekula makande aliyokupikia mama yako mlezi MWENYE UPENDO WA KWELI sasa unataka kurudi kwa linyambuuta lililokutupa. HAYA weka picha yako tupeleke Bango ya TBC1, Search Line ya RFA au ITV waliopoteana.
 
Nimerudi tena see, Maisha will humble you
Karibu sana mkuu naamini umerudi na mengi mazuri kama hutojali tuletee tuburudike, tujifunze na kuelimika pia. Maana we ni miongoni mwa watu wachache ambao maandishi yenu hayachoshi na yana shule nyingi na kubwa sana.
 
Nimekuelewa mkuu lakini sababu zinazopelekea kuamini kua huyu sio Mama yangu ni nyingi mno nyingi sana laiti km ungekua upande wangu ungelitambua hilo
Kuna jamaa kauliza umri hapo juu ila wadau wamemshambulia kama ni swali la kijinga..

Ila mkuu kipindi na mimi ni teenager nilikua nahisi wale naishi nao sio ndgu zangu, hawanipendi, wananichikia, wanataka niondoke pale nk.

Ila mwisho wa siku nikaja kujua tunatofautiana.
Hata mimi kuna kipindi nilikua na mawazo kama yako kwa mama yangu ila nikaja kumsoma na kujua zile reactions zangu juu ya tabia yake zinamuumiza kama mama mzazi.
 
Kuna jamaa kauliza umri hapo juu ila wadau wamemshambulia kama ni swali la kijinga..

Ila mkuu kipindi na mimi ni teenager nilikua nahisi wale naishi nao sio ndgu zangu, hawanipendi, wananichikia, wanataka niondoke pale nk.

Ila mwisho wa siku nikaja kujua tunatofautiana.
Hata mimi kuna kipindi nilikua na mawazo kama yako kwa mama yangu ila nikaja kumsoma na kujua zile reactions zangu juu ya tabia yake zinamuumiza kama mama mzazi.
Sawa mkuu umeeleweka
 
Tafta watu uwe unaongea nao kuna siku utawehuka!.
Hapana hii haiwezi tokea maana hua naongea na watu pia ingawa sio sana mara moja moja na hua sipendi mikusanyiko ya watu mambo ya kujenga kijiwe nilijaribu kua najichanganya gym nikashindwa

Nishaacha kazi za kufanya na team maana mimi napenda kufanya kazi peke yangu peke yangu yaan kitu ukikuta nafanya usijifanye na wewe unataka kufanya acha nifanye ukiniingilia kwenye kile ninachofanya nakuacha ufanye, nikifanya kazi na team nitakinzana na mawazo ya wengine na hapo ndipo ninapoonekana mimi sitaakiwi kua kwenye hio team sababu nipo mbele ya muda kwenye baadhi ya mambo na pia kuna baadhi ya mambo nakua nipo nyuma ya muda, mfano kuna watu wanazijua na wamewahi kutumia almost social medias zote maarufu ila mimi zaidi ya JF labda kidogo X zamani Twitter ndio muda mwingi hua natumia kwingine kote hata sijui kupoje
 
Mama ninaehisi ni Mama yangu kuna asilimia nyingi zinanionyesha sio Mama yangu kuna sauti kutoka ndani inaniambia huyu sio Mama yako
Hayo umeshayaongea kwenye mada.
Ni maneno yaliyojenga maswali, sasa wadau wamekuuliza, huyo mama yako official kwanini unadai si wako?
 
Back
Top Bottom