Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Let her go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wa siku hizi akikanywa kuacha kula ugoro akishushia visungura anaona hapendwiFafanua Kwa Upana Wake
Ueleweke Na Endapo Ulipo Hapafai
Mkuu muogope Mungu, usiishi kumchumia mtu dhambi hayo unayoyasema Mimi situmii na sijihusishi na hivyo vitu mboni hauelewi halafu mimi sio mtoto wa siku hizi kwa hio sahihisha hapo mkuuWatoto wa siku hizi akikanywa kuacha kula ugoro akishushia visungura anaona hapendwi
Bro nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako na mtazamo wako uwe hasi au uwe chanya, ila tu usinishutumu kwa vitu nisivyovifanya halafu Mimi sio Mtoto tena nimekua mtu mzima sasa ila nilichoandika hapa ukielewe km kuna Mama aliwahi kumtelekeza mwanae sehemu na yupo anaishi ajue mwanae yupo hai na ameshagundua Mama aliehisi ni Mama yake miaka yote zaidi ya 30 sio Mama yakeMalezi ya watoto wanyoa viduku na uvaaji wa viskin jeans ni kazi sana, saivi mtoto akikanywa kidogo ajirekebishe kauli ndio kama hizo na wengine hufikia hatua ya kujiua, juzi tumezika binti wa miaka 17 kisa mama kamgombeza upumbavu aliofanya
Nimerudi tena see, Maisha will humble youVipi Da kumbe upo boss umepotea sana jukwaani
Unapaswa pia kuwa na shukrani kama huyo mama amekulea kwa miaka 30 sasa ukiwa hujui ni mengi mazuri amekutendea hupaswi kuhesabu mabaya 10 ukaacha mema mia tano.....zamani kuna jamii flani ilikuwa inanunua watoto wa kiume kama akijikuta amezaa watoto wa kike tu kwaivo anaenda kwa zile familia duniiii anaona kabisa huyu haezi lea mtoto wananunua katoto kachanga kakiume ili aje kuwa kijana wa kurithi mali wakiamini mtoto wa kike hafai kumiliki kitu zaidi ya kuolewa...Bro nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako na mtazamo wako uwe hasi au uwe chanya, ila tu usinishutumu kwa vitu nisivyovifanya halafu Mimi sio Mtoto tena nimekua mtu mzima sasa ila nilichoandika hapa ukielewe km kuna Mama aliwahi kumtelekeza mwanae sehemu na yupo anaishi ajue mwanae yupo hai na ameshagundua Mama aliehisi ni Mama yake miaka yote zaidi ya 30 sio Mama yake
Wajinga wajinga tuMalezi ya watoto wanyoa viduku na uvaaji wa viskin jeans ni kazi sana, saivi mtoto akikanywa kidogo ajirekebishe kauli ndio kama hizo na wengine hufikia hatua ya kujiua, juzi tumezika binti wa miaka 17 kisa mama kamgombeza upumbavu aliofanya
Unasema sio mama yako kisa hana tabia kama zako??Mkuu ni zaidi ya hivyo yaan sijui nikuelezee vipi uelewe kuna watu hatupendi kujianika anika mambo tunapenda kufanya vitu kimya kimya bila kujitangaza kwa watu sababu nimekulia katika makuzi hayo, mimi ni mtu mkimya sana sio muongeaji mzuri muda mwingi napenda kukaa peke yangu sio mtu wa marafiki na sio mtu wa kujitangazia mambo yangu kwa watu ikifika hatua nikikwambia jambo langu linalonihusu basi wewe jua nimekuamini kwa asilimia nyingi na una nafasi kubwa yenye kwenye maisha yangu kwamba hutolitangaza kwa mtu mwingine linabaki kua letu wewe na mimi sio litoke nje, sasa Mama huyu hio kitu hana ukimwambia kitu tu anapita kuropoka kwa kila mtu
Pole sana mkuuNiliwahi kutamani kuondoka nyumbani nikiwa nikiwa mdogo sana na attempt hizo nimezifanya zaidi ya mara moja
Sawa kaka Ila kama unahisi si mama yako kwa ajili ya vitendo vyake unaweza kukosea kwa sababu kila mama ana tabia zake za kibinadamu Ila kama unahisi si mama yako kutokana na viashiria flani solid. Then waulize wakubwa wa ukoo wako, lazma wanajuaMkuu, ingawa wanasema huwezi kumbadirisha Mama yako ulienae ila kuna Mama za watoto wengine hua unafika wakati Mimi tangu nikiwa mdogo nilikua natamani Mama yule angekua Mama yangu, ikitokea nimempata Mama yangu halisi nahisi atakua km Mimi na nitatimia ingawa hatujaonana kitambo kirefu maana sasa sijui km yupo hai au la