Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Mwamba yesu kasinzia bwasheeWalokole bwana, Yesu kashindwa kulinda goli sasa unatafuta waganga binadamu wenzio halaf baadae uje useme waganga wengi waislam
Nenda Kwa mwamposa, nunua maji, udongo na mafuta kama kondoo wenzio
Mganga atakutapeli tumia kanuni za ulimwengu kuifanya hiyo biashara wewe mwenyewe mafanikio ni siri.Walokole bwana, Yesu kashindwa kulinda goli sasa unatafuta waganga binadamu wenzio halaf baadae uje useme waganga wengi waislam
Nenda Kwa mwamposa, nunua maji, udongo na mafuta kama kondoo wenzio
Nidhamu EEH 😂😂😂😂 ...Mganga ni wewe mwenyewe,mganga anaanzia kichwani mwako anaishia kwenye ulimi wako.
Baada ya hapo ni nidhamu kwa kipato chako
Kwa mbaaaaaaaaaali umempa unafuu ila itakua mda mfupi sana 😂Chumvi ya mawe
Karafuu
Pili pili manga
Mkojo wa asubuh
Fanta orange
Mbona humwambii hizo Kanuni za ulimwengu ? Wabongo na unafiki...Mganga atakutapeli tumia kanuni za ulimwengu kuifanya hiyo biashara wewe mwenyewe mafanikio ni siri.
Hizo ziwe kama chakula ni dailyKwa mbaaaaaaaaaali umempa unafuu ila itakua mda mfupi sana 😂
Kiongozi fungua inboxNjoo dm nikupe konekshen mkuu. Biashara kwa Sasa bila kuloga hutoboi na huo ndio ukweli mchungu...hata ukipiga bwana Yesu mara elfu sabini hutoboi,,,
"You need spirit to control Spirit"
Ngoja utapeliweKiongozi fungua inbox
Kwenye mganga mzuri ndio kimbembe, sasa utamjuaje kwamba huyu ni mzuri?? Naona unahamu ya kuliwa pesa zako.Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa sana.
Naitaji mganga ila asitokee mbali sana awe anatokea Arusha au manyara..especial manyara itakuwa poa ila mimi nipo ndani ya jiji la Arusha.
Huu ndio utapeli mkubwa kuliko wote.Mganga ni wewe mwenyewe,mganga anaanzia kichwani mwako anaishia kwenye ulimi wako.
Baada ya hapo ni nidhamu kwa kipato chako