Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
KaribuKiongozi fungua inbox
KaribuKiongozi fungua inbox
Wewe Bado mtoto Mdogo sana huwez elewa kitu. Baki hivyo hivyo.Waganga wako bize wanabeti worldcup mazafantaa na bado
Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa sana.
Naitaji mganga ila asitokee mbali sana awe anatokea Arusha au manyara..especial manyara itakuwa poa ila mimi nipo ndani ya jiji la Arusha.
You need spirit to control Spirit...wewe una nini ama una spirit yenye uwezo Gani, ama umemfanyia nini Mungu kuweza ku kontrol watu elfu kumi waje kwenye biashara yako ...Mkuu on ground mambo n magumu sana, wala hujalogwa ! Bishara nyingi zimestuck !
Fanya hivi, cheki upya spending zako, usikute una matumizi makubwa kuliko faida !
Pambana sana kulinda mtaji ili uvuke kwenye hiki kipindi kigumu cha mfumuko wa bei... unaweza kuleta mganga mambo yakawa hovyo mara 100 zaidi
Mkuu on ground mambo n magumu sana, wala hujalogwa ! Bishara nyingi zimestuck !
Fanya hivi, cheki upya spending zako, usikute una matumizi makubwa kuliko faida !
Pambana sana kulinda mtaji ili uvuke kwenye hiki kipindi kigumu cha mfumuko wa bei... unaweza kuleta mganga mambo yakawa hovyo mara 100 zaidi
Wanaweza kua wametoka huku WAKAJA huko Pemba kwenu hao matapeli 😀.mmekaririshwa mganga lazima atokee sehem flan, lazima awe AMEVAA mashanga, ana mafuvu, mapete mengi, makorokoro kibao, matasbihi na mavtabu mengi , matunguli mengi...haya...😂😂😂Waganga utapata Tanga, Zanzibar, Lindi/Mtwara na Kigoma. Au Rukwa. Huko kwingine bwashehe watakudanganya tu. Hakuna mgangq serious manyara na arusha. Utaibiwa na wajanja sheikh wangu. Njoo Pemba au Unguja utasomewa ukae sawa.
Waingize kwenye mfumo wapige pesa, me nimetoboa bila mganga tapeli wewe laanakumWewe Bado mtoto Mdogo sana huwez elewa kitu. Baki hivyo hivyo.
Umetoboa una muda wa kujibizana na Mimi 😂😂😂😂Waingize kwenye mfumo wapige pesa, me nimetoboa bila mganga tapeli wewe laanakum
Hapa hauengelei mambo ya Yesu na shetani... waganga wa kweli haswa wenyewe wanamtegemea Mungu.Nilishaenda kwa waganga sana kuna wanaofanya ile huduma kama kusaidia watu wanao onea na hawataki dhuluma wala kumuonea mtu.Mwamba yesu kasinzia bwashee
Mshamba kweli, Donald trump na Elon musk wanashinda waki tweet siku nzima kuna shida gan niki refresh huku na kuonya watu juu ya utapeli wako?Umetoboa una muda wa kujibizana na Mimi 😂😂😂😂
Vitendea kazi sio😅Chumvi ya mawe
Karafuu
Pili pili manga
Mkojo wa asubuh
Fanta orange
VAR CHECKEDMwamba yesu kasinzia bwashee View attachment 3606983
Uliposikia anatoka Arusha ukajua ni mkristo maana huko maji ya kujitawazia ili ukachume mboga za majani msikitini ni adimu😝😝😝😝😀😀😀Walokole bwana, Yesu kashindwa kulinda goli sasa unatafuta waganga binadamu wenzio halaf baadae uje useme waganga wengi waislam
Nenda Kwa mwamposa, nunua maji, udongo na mafuta kama kondoo wenzio
Ajaribu na pisi za peponi zinaweza kumsaidia😝😝😝Mwamba yesu kasinzia bwashee View attachment 3606983