Namtafuta mganga mzuri wa ‘kunitengenezea’ biashara yangu

Mshamba kweli, Donald trump na Elon musk wanashinda waki tweet siku nzima kuna shida gan niki refresh huku na kuonya watu juu ya utapeli wako?
Kwaio umetoboa na unajifananisha na Elon ? Labda kutoboa pua...Toka kijiweni hapo 😂😂😂😂
 
You need spirit to control Spirit...wewe una nini ama una spirit yenye uwezo Gani, ama umemfanyia nini Mungu kuweza ku kontrol watu elfu kumi waje kwenye biashara yako ...
Eti biashara nyingi zimestuck, sema biashara yangu imestuck...watu wnapiga masafa mzee, watu Wana hela MPAKA wanatapika, Yan mtu ana hela MPAKA unasema hivi Mimi nmekuja duniani kufanya nini, mbona akina Tajiri Katarama, Akina Nyasa, akina Ottawa, akina Asas, akina Feo, wao hawalalamiki kwanini 😀😀😂
Mkuu nimeipenda hii argument yako, sasa naomba kujua je nimfanyie nini Mungu ili niweze ku control watu elfu kumi waje kwenye biashara yangu?
 
Kwaio umetoboa na unajifananisha na Elon ? Labda kutoboa pua...Toka kijiweni hapo 😂😂😂😂
Panapo majaliwa nastaafu kazi miaka 36 nilee wanangu vizuri! nina miaka kadhaa tu nije kijiweni ki boss, endelea kutamania mali za kina katarama na super feo ndo upeo wako umeishia hapo unaendekeza uchawi jamaa yana mwisho mbaya.. gain the world lose your soul. Watakaokufata pm ni wajinga wa mwisho
 
Andaa vitu vifuatavyo
  1. Kondoo mweusi
  2. Shuka nyeusi
  3. Maji ya maiti
  4. Udongo wa kutoka pembe nne za nyumba unayofanyia biashara
  5. Nazi
  6. Udi original
  7. Nguo zako shati,suruali,chupi na viatu
Ukiwa tayari sema nikupe maelekezo hapa hapa. Malipo ni baada ya mafanikio
 
Kwaio umetoboa na unajifananisha na Elon ? Labda kutoboa pua...Toka kijiweni hapo 😂😂😂😂
Tapeli uchwaraa.. atakaekufata pm ni mbugila wa mwisho, yan kaz zote zimekushinda hadi uwe dalali wa waganga? Kulaleki wazaz wako wana hasara kama una familia pole yao eti faza winga wa sangoma.
 
Hapo vip!

Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.

Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa sana.

Naitaji mganga ila asitokee mbali sana awe anatokea Arusha au manyara..especial manyara itakuwa poa ila mimi nipo ndani ya jiji la Arusha.
Ukimpata mganga konki niunganishe nae mkuu. Kuna mfanyabiashara mwenzangu pembeni ya fremu yangu simuelewi elewi. Alikuja dukani kununua kitu. Tangu hapo ni siku ya tano sasa sijapata mteja hata moja
 
Huyo mganga atamalizia na hizo Hela zilizobaki
 
Ukimpata mganga konki niunganishe nae mkuu. Kuna mfanyabiashara mwenzangu pembeni ya fremu yangu simuelewi elewi. Alikuja dukani kununua kitu. Tangu hapo ni siku ya tano sasa sijapata mteja hata moja
We nae kumbe Zombie tu, unatafuta kutapeliwa
 
Tapeli uchwaraa.. atakaekufata pm ni mbugila wa mwisho, yan kaz zote zimekushinda hadi uwe dalali wa waganga? Kulaleki wazaz wako wana hasara kama una familia pole yao eti faza winga wa sangoma.
Kwaio umetoboa na unajifananisha na Elon ? Labda kutoboa pua...Toka kijiweni hapo 😂😂😂😂
 
Apo sawa ila kuna wengine wana direct watu njoo pm hio sio masihara mtu anaenda kutapeliwa
Ni mumeo huyo mbona unaumizwa na pesa zake ? 🤣🤣🤣🤣 Halafu UNASEMA umetoboa ..umetoboa pua kama wanawake WA indians ...ila sio kutoboa maisha...unajikweza huku pesa za mume wako zinakuuma hivi...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍻🍻🍻🍻🍻🚮
 
Back
Top Bottom