Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ona hii Kenge...we shoga? Unaumia pesa za wanaume wengine ..au waume zako hao.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍻We nae kumbe Zombie tu, unatafuta kutapeliwa
Eti nimetoboa ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda kimetoboka KIATU...
Ona hii Kenge...we shoga? Unaumia pesa za wanaume wengine ..au waume zako hao.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍻We nae kumbe Zombie tu, unatafuta kutapeliwa
Waache WAENDE kwa bwana YesuUmejaribu kwenda same mkuu?
HahahaWalokole bwana, Yesu kashindwa kulinda goli sasa unatafuta waganga binadamu wenzio halaf baadae uje useme waganga wengi waislam
Nenda Kwa mwamposa, nunua maji, udongo na mafuta kama kondoo wenzio
Mwaga KONEKSHEN hapahapa bossNjoo dm nikupe konekshen mkuu. Biashara kwa Sasa bila kuloga hutoboi na huo ndio ukweli mchungu...hata ukipiga bwana Yesu mara elfu sabini hutoboi,,,
"You need spirit to control Spirit"
Ufafanuzi kidogo bossChimbia kobe hapo na mayai nane,lete mrejesho,huyo ni jini kamili,mwenyewe halisi,juu yake panda mti,mti unavyokuwa ndivyo kazi itamea...(Ancient secret)
Mgangq kazi yake ni kukupa matunguli tuu, hajui biashara na hajawahi kufanya biashara. Mtafute Kelvin Kibenje utakuwa milionea sasa hivi.Hapo vip!
Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa.
Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa sana.
Naitaji mganga ila asitokee mbali sana awe anatokea Arusha au manyara..especial manyara itakuwa poa ila mimi nipo ndani ya jiji la Arusha.
😂😂 Biashara na maombi mbona ni kibarua kizito sanaWaache WAENDE kwa bwana Yesu
Kwa tabora ni sahihi kahama wale wanajua utaalamu wa maduara kupata dhahabuMkuu kabla hujaenda kwa waganga jitathimin haya~
- Kauli kwa wateja
- Unavotoa huduma yaan customer care
- matumiz yako
- na bei zako za bidhaa
Kama unataka waganga wa biashara usije ukachukuwa namb kweny matangazo ya kweny nguzo za umeme.
Funga safari hadi TABORA na SHINYANGA.
Kwa shinyanga ulizia INAGA MBELELE yupo kahama. Hapo uhakika mwambie pia akutengenezee mgogo wa biashara.
Chimbia kobe hapo na mayai nane,lete mrejesho,huyo ni jini kamili,mwenyewe halisi,juu yake panda mti,mti unavyokuwa ndivyo kazi itamea...(Ancient secret)
Haya mengine ni utapeli..acha tukampe sadaka mwamposa atupe utajiri huku yeye akiendelea kua bilionea...😂😂 Biashara na maombi mbona ni kibarua kizito sana
Mkuu dah 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Haya mengine ni utapeli..acha tukampe sadaka mwamposa atupe utajiri huku yeye akiendelea kua bilionea...
😆😆😆Kwaio umetoboa na unajifananisha na Elon ? Labda kutoboa pua...Toka kijiweni hapo 😂😂😂😂
HapanaNaweza kuweka hii kitu kwenye shamba kwaajili ya mazao?