Namtafuta mganga mzuri wa ‘kunitengenezea’ biashara yangu

We nae kumbe Zombie tu, unatafuta kutapeliwa
Ona hii Kenge...we shoga? Unaumia pesa za wanaume wengine ..au waume zako hao.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍻
Eti nimetoboa ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣 labda kimetoboka KIATU...
 
Mkuu kabla hujaenda kwa waganga jitathimin haya~
  • Kauli kwa wateja
  • Unavotoa huduma yaan customer care
  • matumiz yako
  • na bei zako za bidhaa

Kama unataka waganga wa biashara usije ukachukuwa namb kweny matangazo ya kweny nguzo za umeme.

Funga safari hadi TABORA na SHINYANGA.

Kwa shinyanga ulizia INAGA MBELELE yupo kahama. Hapo uhakika mwambie pia akutengenezee mgogo wa biashara.
 
Chimbia kobe hapo na mayai nane,lete mrejesho,huyo ni jini kamili,mwenyewe halisi,juu yake panda mti,mti unavyokuwa ndivyo kazi itamea...(Ancient secret)
 
Njoo dm nikupe konekshen mkuu. Biashara kwa Sasa bila kuloga hutoboi na huo ndio ukweli mchungu...hata ukipiga bwana Yesu mara elfu sabini hutoboi,,,

"You need spirit to control Spirit"
Mwaga KONEKSHEN hapahapa boss
 
Mgangq kazi yake ni kukupa matunguli tuu, hajui biashara na hajawahi kufanya biashara. Mtafute Kelvin Kibenje utakuwa milionea sasa hivi.
 
Kwa tabora ni sahihi kahama wale wanajua utaalamu wa maduara kupata dhahabu
 
😂😂 Biashara na maombi mbona ni kibarua kizito sana
Haya mengine ni utapeli..acha tukampe sadaka mwamposa atupe utajiri huku yeye akiendelea kua bilionea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…