Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Husninyo wakati unatunyooshea kidole kimoja..................vitatu vinakurudia wewe.
nina sifa zote kama ulivyoainisha,ingawa wewe haujataja wewe ukoje,mi sifa ya wewe uwe nami ni moja tu,uwe bikira basijamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara
2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate
3mtanzania- weka passport
4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena
5 awe na maisha yanayoeleweka loh
6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe
7 awe anajiamini
8awe mpenzi wa simba na arsenal
9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika
10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo
11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh
12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe
13 nitaendelea kesho
(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
ukifikisha miaka 40 najua hizo sifa utazipunguza na kubaki moja tu ambayo nayo itakuwa ni mpya nayo nindio bwana kwa sababu mwenza unatakiwa upate katika mazingira unayoishi either kanisani ,kazini au mtaani nk
kanisani nimekosa
kazini sipendi mtu naefanya nae
mtaani nimekosa eneo nililobakisha ni humu tu ndo maana nikaja hapa boss
umekuwa mkweli maana utakuwa umekipata ulichofuatanikimpata sirudi tena loh?
Kwenye RED................ JF haina wa dizaini hiyo.nina sifa zote kama ulivyoainisha,ingawa wewe haujataja wewe ukoje,mi sifa ya wewe uwe nami ni moja tu,uwe bikira basi
mbona hii sifa haikuwepo au ndo unaendelea ulipoishia siku ile ya kwanza?una kilo ngapi? mmmmh huo mwili?
apeleke kwenye jokes au ugeni bado haujaisha, muelekezeni cha kufanya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Lizzy,love connect wanarusha uzi watu ambao kweli serious wanatafuta wenza,uzi huu wa Bebii hapa ndp pahala pake maana basically anafurahisha baraza,wewe are you taking this tangazo seriously? mpaka leo hujamjua Bebii?dawa yake huyu nshamwambia ni kumchapa tu.
kumbe wanataja sifa kibao wakati kumbe akija na kusema sifa ni moja tu ya ubikira wote siko hiyo watakuwa na udhuru na hawataonekana humu mmuKwenye RED................ JF haina wa dizaini hiyo.
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
Hapo nimekosa mke, kipengere namba 8 kimenishinda. Sipendi kuishi maisha ya presha na vidonda vya tumbo mie kuipenda arsenal.
(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara
2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate
3mtanzania- weka passport
4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena
5 awe na maisha yanayoeleweka loh
6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe
7 awe anajiamini
8awe mpenzi wa simba na arsenal
9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika
10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo
11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh
12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe
13 nitaendelea kesho
(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
sifa zote ninazo.
Lakini hiyo namba 8
kushabikia Arsenal nipo radhi kukosa
Kweli duniani kuna watu na viatu aliimba mdada mmoja, ukiangalia hii thread kwa umakini utagundua kuwa kuna mdhaha mkubwa ndani yake, mana sifa zote unazotaka haizekani katika hari ya kawaida kuwa kwa mtu mmoja. Pia sifa zingine ni suajective inategemea wewe unazitafasiri vp! Mfano wa kuwa na mvuto, kizazi cha leo mvuto wana taka uwe mtu wa swaga, kimavazi na maisha yako yote, kizazi cha hapo kati wao walitaka mtu ili awe na mvuto basi apige panki na jeans na T-shirt, zamani ili uonekane na mvuto basi tupia dingizi au suruali pima kiuno tu chini maliza kitambaa chote, rise-on na T-shirt ya kubana, pia kipengele cha upendo, je umeweka benchmark au SI unit ya kupima upendo ili tujilinganishe na upendo gani unaoongelea?kuwa shabiki wa simba au Arsenal hapo hunipati
hapo kwenye red hawezi hata kuthubutuDownloadMi sifa zote hizo ninazo. Ila nawe naomba nikukute na sifa moja tu. UWE BIKRA ILI NIFUNGUE SEAL MIMI MWENYEWE. Tutaenda kupima hilo ili nithibitishe kwani siku hizi zipo za kutengeneza. Kama sifa hii unayo,ni pm ili tuanze mawasiliano mara moja.