namtafuta mmu member awe mume wangu

namtafuta mmu member awe mume wangu

Haya bwana... Anyway, yuko humu humu (si ulisema awe JF?) kama vipi ata ku-PM mwenyewe maana he is serious.
yaa aje ajieleze mwenyewe uraia anaweza kubadilisha pia sio lazima wa kuzaliwa
 
ulijuaje jamani?

Nakutakia mema Bebii, mnyarwanda anaonekana hana pupa, anataka nawe uridhike nae ndo maana akasema mnaweza kuwa marafiki kwanza. Sasa hawa wa humu kile kipengele cha jana cha miezi sita tu waliona kama jela!! Lol!
 
ngoja nimsome mwaya
 
Mimi ninazo sifa zote tajwa hapo juu. Ila naona umeiweka kama tender igombewe. Sasa ili kuondoa mtazamo huo, nawe ujitambulishe kwa sifa ulizo nazo. Mfano kama una watoto, umewahi kuolewa ama la, umri wako,kabila,HIV status yako,maana kwa wengine ukiwa positive utawafaa n.k.
 
nitaendelea kesho ila hiv niko negative ningekuwa positive nisingetafuta negativu tumia akili ila usijali positive wapo utawapata tu mkuu
 
Duh!! BAHATI kwangu! Sifa zote mm ninazo na nyingine 1 ya ziada, yaani "issue" yangu ni sem-treiller!! Hapo vp?? Alafu Bebii ile njia yako uliotumia mwanzoni ya vacancy application haikufanikiwa nini ndo umeamua leo kuja mzima-mzima!!??
Bebii mbona hunipi jibu au umeniogopa? Kama vp hakuna majontroooooo!
 
Du naona unatafuta robot................kila kitu ni according to your liking.......................where is the fun?
 
Love connect.....peleka kule.
Lizzy,love connect wanarusha uzi watu ambao kweli serious wanatafuta wenza,uzi huu wa Bebii hapa ndp pahala pake maana basically anafurahisha baraza,wewe are you taking this tangazo seriously? mpaka leo hujamjua Bebii?dawa yake huyu nshamwambia ni kumchapa tu.
 
Unajua mnaongea sana halafu mnasahau.....
mara unaye ambae unamuangalia kama atakufaa,
mara fulani ulimuona anakufaa
mara hutaki kutongozwa...
mara hivi.....mwisho watu hawatakuchukulia serious....
The Boss , alokwambia Bebii yuko siriaz nani?humjui au?
 
Bebii my kid sis hua unanichanganya habari zako haziko consistent....

  1. Hujafanya mambo yale siku nyingi wala hutarajii...
  2. Hutaki kabisa wanaume...
  3. Hutaki kuolewa mana ni mateso...
  4. Mara una appointment na Bishanga (angekua mwingine ningekua sina wasi but Bishanga kazi ni moja)
Saizi unatafuta mchumba?? Niambie kid sis kama saizi upo serious...

Aspiriiiiiiiiiiiiiiiiin uko wapi?????? mbona nashambuliwa na wewe unaaaaaaangalia tu bana?
 
Duh! una bahati mbaya wewe, hili tangazo ungelitoa miaka kumi iliyopita ungekuwa wangu siku nyingi.........
 
Back
Top Bottom