Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
yaani Husninyo,hata mimi Bishanga Abashaija?Ila mi wanaume wa humu nawaona kama hawajatulia tulia vile. Lol!
Msinichinje jamani, ni mtazamo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani Husninyo,hata mimi Bishanga Abashaija?Ila mi wanaume wa humu nawaona kama hawajatulia tulia vile. Lol!
Msinichinje jamani, ni mtazamo tu.
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara
2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate
3mtanzania- weka passport
4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena
5 awe na maisha yanayoeleweka loh
6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe
7 awe anajiamini
8awe mpenzi wa simba na arsenal
9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika
10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo
11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh
12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe
13 nitaendelea kesho
(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa

Aspiriiiiiiiiiiiiiiiiin uko wapi?????? mbona nashambuliwa na wewe unaaaaaaangalia tu bana?
Hizo sifa naanza kuamini Bebii si mwanamke
Afadhali umemstukia mwanamke gani mwenye ni ya dhati ya kuolewa na wakati huo huo anaweka vigezo na masharti mengi atampata nani labda Ngongo peke yake ndiyo mwenye vigezo hivyo ukiondoa namba 8.Ingieni kichwa kichwa mtakutana na dume mwenzenu mwisho wa siku mtakimbilia kuomba msaada kwa mheshimiwa Membe shauri yenu.
Goodluck my dear and take care b4 u decide,coz kuna matapela wa mapenzi
Like tupu haitoshi kipipi, bonus muhimu. Think! kipipi think!
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara
2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate
3mtanzania- weka passport
4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena
5 awe na maisha yanayoeleweka loh
6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe
7 awe anajiamini
8awe mpenzi wa simba na arsenal
9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika
10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo
11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh
12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe
13 nitaendelea kesho
(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
we kontakti mama 2kupandie hewanijamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza