namtafuta mmu member awe mume wangu

namtafuta mmu member awe mume wangu

Kwenye red kama niliwahi kutumia na nimeacha whats the problem.....relationship discrimination
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
 
dah....hahahahaha nilikuwa sijaona na hii kwenye red.....asee kazi kweli kweli

Afadhali umemstukia mwanamke gani mwenye ni ya dhati ya kuolewa na wakati huo huo anaweka vigezo na masharti mengi atampata nani labda Ngongo peke yake ndiyo mwenye vigezo hivyo ukiondoa namba 8.Ingieni kichwa kichwa mtakutana na dume mwenzenu mwisho wa siku mtakimbilia kuomba msaada kwa mheshimiwa Membe shauri yenu.

Hizo sifa naanza kuamini Bebii si mwanamke
 
Afadhali umemstukia mwanamke gani mwenye ni ya dhati ya kuolewa na wakati huo huo anaweka vigezo na masharti mengi atampata nani labda Ngongo peke yake ndiyo mwenye vigezo hivyo ukiondoa namba 8.Ingieni kichwa kichwa mtakutana na dume mwenzenu mwisho wa siku mtakimbilia kuomba msaada kwa mheshimiwa Membe shauri yenu.

Masharti hata kazi za UN 15yrs imezidi kha Bebii punguza kidogo
 
mkuu hiyo user name unamaanisha?

Itakuwa amemaanisha, kwa sababu sifa namba 9 hana, lakini yeye kasema sifa zote anazo!

quote_icon.png
By mjinga
Sifa zote hizo mie ninazo, nina mke na wewe uatakuwa mke wa pili
 
Mimi nimetimiza vigezo vyoote Bebii, ila nina tabia moja mbaya sana...huwa ni lazima niende chumvini mpaka Manzi amwage chozi ndo nianze mzigo, hapo tu ndo penye tatizo.
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa

Hapa kwenye red cjaelewa, ina maana umekubali kupokea misaada ya Malkia siyo? It seem uko tayari kwa either way
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
we kontakti mama 2kupandie hewani
 
Bado CV ulizopewa hazijatosha tu? Hujapata bado wa kukufaa japo awe na 3/5 ya sifa ulizotaja.
 
Back
Top Bottom