Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

Huyu dem bwana ana sauti moja amaizing sana... Yaan enzi zile miaka ya mwisho ya 2000 alasiri mtu lazima uwe karibu na redio showtime j3 hadi ijumaa.
 
Huyu dem bwana ana sauti moja amaizing sana... Yaan enzi zile miaka ya mwisho ya 2000 alasiri mtu lazima uwe karibu na redio showtime j3 hadi ijumaa.
Alikua na kipindi flani saa tano asubuhi jingle yake ilikua ngoma flan hivi kama sio ya beyonce ilikua ya rihana ,jingle ikiisha ndio unaisikia sasa sauti mubashara ya mtoto wa mama sabuni.
 
Umekosea radio bora kwa sasa ni clouds fm and no more ubishi uishe ila kipindi kile kulikua na radio pacha kiss fm ilikua laana nanusu JK(John Kalani).Hassan Wibonela (D7) Marehem Mabovu hakika mziki ulikua laana nanusu ule yai lilitoka mule lilikua likinikosha sana
Siku hizi usikilizaji umebadilika sana, tukisema kwa ujumla, Yes Clouds bado anakimbiza kutokana na maeneo ambayo Clouds anasikika, ni almost nchi nzima na Wasafi hajafika

Lakini tukizungumzia maeneo ambayo wapo wote ni obvious Wasafi kamuacha mbali Clouds, hasa kwenye vipindi ambavyo vinaongoza wasikilizaji wengi mfano Michezo ni Wasafi, Burudani na Muziki Clouds anakimbiza, na kwenye vipindi vya jamii wanakimbizana wote na ni suala la muda tu wasafi kutake over kwenye eneo hilo

Tukiongelea Clouds na RFA, Clouds anaibuka mshindi kwa kuwa na wasikilizaji wengi, RFA bado kwa Tanzania hii hana mpinzani kwenye vipindi vya habari na Matukio
 
The sound of Africa... Hawa jamaa kuna tamaduni yao wanatakiwa waendelee nayo na wasibadil maana ndio inawapa utofaut na Redio nyingine. Moja ni nyimbo zao za Dance na zile za Kongo.. Sema toka miaka ya 2010 Kuja mpaka saiv wanakwama sana kwenye suala la Watangaji, sio RFA ile iliyokuwa na cream saf kabisaa ya watangazaji na ndio maana Wengi wao walikuwa wakitoka RFA utakuta wako BBC au redio kubwa. Kwenye TV ndio basi kabisaa, katika habar zao 10 kati ya hzo 8 ni za kanda ya Ziwa, Pia kinachoniboa zaidi habar ya kawaida tuu inaweza lipotiwa mpaka dk 5 mpaka 8. Wanahoji watu wengi na kuwarusha wote pasi na sababu ya Msingi
 
Alikua na kipindi flani saa tano asubuhi jingle yake ilikua ngoma flan hivi kama sio ya beyonce ilikua ya rihana ,jingle ikiisha ndio unaisikia sasa sauti mubashara ya mtoto wa mama sabuni.
Rihanna ~ Music of the sun
 
Kumbuka kuna maisha mengine nje ya Utangazaji, huenda kuna mambo mengine anafanya.

Jaribu kum-DM Kidbway kule kwa Instagram yake, huenda anaweza kukusaidia.
 
Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
Bila kumsahau Stela stumbi,RFA 2000's way baki ilikuwa haishikiki
 
Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
Alikuwepo mtata wa makabila sijui ndio nani kati yao hapo juu,daah kitambo sana mkuu
 
Huyu dem bwana ana sauti moja amaizing sana... Yaan enzi zile miaka ya mwisho ya 2000 alasiri mtu lazima uwe karibu na redio showtime j3 hadi ijumaa.
Ana kisauti fulani cha mafua hivi,daah nilikuwa sibanduki kwenye kiredio mkulima cha mzee kilichokuwa kinaishilia ubora wake kwa kukosa mfuniko wa nyuma.
 
Ana kisauti fulani cha mafua hivi,daah nilikuwa sibanduki kwenye kiredio mkulima cha mzee kilichokuwa kinaishilia ubora wake kwa kukosa mfuniko wa nyuma.
Hahaha... Enzi hzo za Masafa ya Kati na FM. Showtime Jumatatu, Jumatano na Ijumaa.. Ijumaa ni Top ten. Pia kulikuwa na Vipengele kama Fagilia au Siriba. Yaan wana wanapiga sim au kutuma Text Kumponda hasa Msanii au kumsifia. Na kuna wakat mwingine walikuwa wanasiribwa watangazaji
 
Nilikuwa najua watangazaji wana hela balaa.Baadhi niliishi nao jirani kwenye nyumba ya Diallo hapo Bwiru Place .Walikuwa na njaa kali sana ,wangeweza hata kutafuna magodoro.
 
Alikua na kipindi flani saa tano asubuhi jingle yake ilikua ngoma flan hivi kama sio ya beyonce ilikua ya rihana ,jingle ikiisha ndio unaisikia sasa sauti mubashara ya mtoto wa mama sabuni.
Beat ilikuwa ya Rihana...." Music of the sun"
 
Beatrice Rabach
Glory Robinson
Rahabu Fred
Mkamiti Juma
Fredwaa
Baruan Muhuza
Roy Mlaliki Maganga
Jumaa Ahmed Baragaza
Na wengine wengi hii RFA ilikuwa ya moto na influence kubwa sana kuliko radio nyingine yoyote hapa nchini.
Kitambo sana Rahabu Fungo na baadaye Rahabu Fred baada ya kuoana Fredwaa
 
Back
Top Bottom