Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Mimi namtafuta Foibe, tulikuwa tunakaa dawati moja form ii, badala ya kusoma nikaanza kumpenda ila sikuwa na uthubutu, niliendelea kula kwa macho hadi tukamaliza shule..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Namtafuta Shani, yeye alikuwa sweetheart wangu shule ya upili, alichangia mimi "kufeli" kwa kuendekeza malove badala ya calculus..[emoji1787][emoji1787]
 
Shani ilisoma nae A level, halafu nipo nae group la shule, hebu sema kama upo serious nikuunganishe nae, mwenyewe alipost kwenye group la shule kwamba anakutafuta sana😅😅
 
Shani ilisoma nae A level, halafu nipo nae group la shule, hebu sema kama upo serious nikuunganishe nae, mwenyewe alipost kwenye group la shule kwamba anakutafuta sana[emoji28][emoji28]
Niunganishe na Shani mkuu, hahaha...ila kama ulisoma nae A level manake hata weweni school mate wangu, kitu ambacho siamini..wewe bado kabinti kabichi.[emoji1787]
 
Nakupa namba yake mzee yupo njia panda himo
 
Niunganishe na Shani mkuu, hahaha...ila kama ulisoma nae A level manake hata weweni school mate wangu, kitu ambacho siamini..wewe bado kabinti kabichi.[emoji1787]
Hahaha ngoja nimwonyeshe Shani hii msg halafu akiniruhusu ntakuunganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…