monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Huyu mhusika bado hajapata mume mbona hamna mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan we acha tuHatongozwi? Mtakuja kuolewa na majini wa mtandaoni
Mpo Mkoa gani?Kweli bado.Twasubiri ajitokeze mwenye nia nzuri.
Maalim tuyajenge.Kweli bado.Twasubiri ajitokeze mwenye nia nzuri.
Kama mtakua tayari niwaoe wote wawili basi tuanzeni mchakatoSi kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Allah atufanyie wepesi katika mazito yetuMaalim tuyajenge.
Huu ni utaratibu mzuri nilishawahi kufanya hilo kwa binamu yangu.
Nami nilishawahi kumtafutia dadangu wa bibamu mume, nilichofanya nilikwenda kumshika rafiki na ndugu wa ndugu yangu, Nikamwambia napenda umuoe binamu yangu.
Nikafanya mchakato na huyu rafiki yangu kwanza amuone tu kwa sura ili kwanza aridhike. Kama asingeridhia na binamu yangu kutojua huwa haimpetei madhara yyt
Alipomuona nikamuuliza rafiki yangi kama karidhia. Akasema ndio.
Baada ya rafiki yangu kuondoka nikamfata binamu yangu nikamwambia yule uliyemtengea chai asubui ni rafiki na ndugu ya ndugu zangu na anataka kukuposa na nitakwenda kuwaambia wazazi wako. Na atakuja rasmi kwenu kukuona, mtaongea.
Napoongea hapa sasa wana miaka minne ktk ndoa na wana watoto wawili.
Muhimu atakaejitokexa kwako umuulize imam wa msikiti anaoswali. Na wewe utueleze imam was msikiti ambao huduma za kidini mnapata kutoka msikiti huo.
Pamoja na kuwa Nina fikra za kuongeza make mwenye sifa kama za huyo ukhti. Lkn kwa sasa nipo likizo ya muda mrefu. Sina kazi, sina biashara. Siku inavyopita mungu mwenyewe ndie anaejua.
Nimependa sana mchango wako na umenifurahisha kwa hitimisho lako.Maalim tuyajenge.

Mimi nimeomba wewe uwe wa nyongezaMimi natafuta mume wa dada sio shoga kama wewe.
Mkuu unamaana gan unaposema nia nzuri? Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza pm yako na nikaweka sifa zangu lukuki ili maswali yasiwe mengi na baada kama wiki moja mhusika (dada yako) alinipigia simu wakati huo mimi nilikua kazini tena nilikua bize mno hivyo nilimkatisha bila ya kujua kama ni dada yako na kumwambia nitakucheki baadae nipo bize mno.Kweli bado.Twasubiri ajitokeze mwenye nia nzuri.
Ewaa, hapo sasa ndiyo unakuja vizuri. Tutafutane basi Ami ake ili tuweze kuondoa doubtsUtaomba vipi nyongeza kabla hujapokea cha mwanzo.Tungependa tukujue kama ni mwenzao au ni mwenzangu.Tukijua ni kama dada tutakutafutia dawa yako.
Nimekusikia.Kwanza nashukuru kwa maelezo yako kila mmoja aliyewasiliana nasi ameona usalama na amejua ukweli halisi.Na nimefurahi inaonekana kwa mfumo wa JF majina yanayokuja kule kama ni tofauti na haya yanayojitokeza hapa kwa sababu wala sikuona jina lako hili ijapokuwa taarifa zako alinieleza dada.Mkuu unamaana gan unaposema nia nzuri? Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza pm yako na nikaweka sifa zangu lukuki ili maswali yasiwe mengi na baada kama wiki moja mhusika (dada yako) alinipigia simu wakati huo mimi nilikua kazini tena nilikua bize mno hivyo nilimkatisha bila ya kujua kama ni dada yako na kumwambia nitakucheki baadae nipo bize mno.
Lakini nilisahau kuirudia tena ile namba baada ya siku kama tatu alinipigia tena na kuanza kujitambulisha nami nilimpa ushirikiano wa kujitambulisha ila baada ya kuuliza kazi ninayofanya sikutaka kujivunga nikamwambia ukweli aiseee hapo maswali yalikua mengi sana na mwishowe aliahidi atarejea kunitafuta lakini hakunitafuta tena aliingia mitini
Jinsi inavyoonekana dada yako hamtafuti mtu mwenye sifa tajwa bali anamtafuta bwanyenye mwenye kazi nzuri na pesa zake na kama ataendelea hivyo sijui kama atafikia malengo simuombei mabaya huu ni mtazamo wangu tu kwa jinsi alivyonihoji nimejifunza kitu kutoka kwake
Bahati nzuri baada ya wiki moja nimeitwa kwenye kazi inayoendana na taaluma yangu na nimekutana na binti wa kichaga sasa tatizo linakuja mimi na yeye imani tofauti na kila mmoja hataki kubadili dini hili picha sijui mwishowake utakuaje
VIJANA TUTAFUTE PESA KUOA MWANAMKE ALIYEKUZIDI KIPATO/MALI NI HATARI KWA AFYA YAKO.
Mimi na wewe twende hivihivi mdogomdogo, The picture tutalijua huko mbele ya safari. Kwa sasa una rulsa ya kuongea yote😃Wenzako wamejitokeza kwa dada.Wewe wataka utafutwe wapi.Hapo sasa ndio unaanza kueleweka jinsia yako.
Jamii forums kweli ni sehemu ya furaha tu maumivu hapa hayatakiwi