Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni halali sana tu, Maana kama ulisoma vizuri utaona ni dada yake karidhia kaka yake amtafutie mme tena Masha Allah kigezo cha ibada kipo apo. Haifai kumlazimisha tu ila akiridhia mwenyewe aaah! Apo hakuna shakaKwa waislamu kaka kumtafutia dada mme ni halali kweli mkuu au mimi ndio sielewi
Asalam alaykum!! Mimi niko tayari ila kuna vitu ningependa kujua ni kweli haswaa uyo dadayo ni mfanya ibada au mavazi tu maana nahofia kupoteza dini ya kwa kukosea kuoa.Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
wa ALAYKUM SALAAM.Asalam alaykum!! Mimi niko tayari ila kuna vitu ningependa kujua ni kweli haswaa uyo dadayo ni mfanya ibada au mavazi tu maana nahofia kupoteza dini ya kwa kukosea kuoa.
Lakini kati ya hao pichani yeyote kwangu ewala natumai hilo vazi liko mpaka moyoni but ninae mke na watoto watatu nahitaji sana kupata mke wa pili mchamumgu kama wa awali.
Tafadhali nizingatie
Ni kweli lakini Oa Mwenye Dini, Mke akiijua Dini ata awe na sura wala shepu ipi lazima Utamfurahi tu kuna Maisha Mengi sana mbali Urembo katika Ndoa.Hii picha haitusaidii sana kwenye kufanya mchanganuo
Uzi ushakuwa wa.muda mrefu sana vipi mkuu dada keshapata mwenza?Ni kweli lakini Oa Mwenye Dini, Mke akiijua Dini ata awe na sura wala shepu ipi lazima Utamfurahi tu kuna Maisha Mengi sana mbali Urembo katika Ndoa.
Unamletea nani singo maza?Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Mpaka leo bado.Waliojitokeza wengine wana mambo ya kimbea mbea.Eti kwa nini uliachwa. Na wengine inaonekana ni wahuni.Walidhdni na huyu dada yangu naye ni kama wao. Na kubwa zaidi ni kwamba wanawake wanaotaka waume ni wengi si dada yangu tu wakati huo huo wanaume wenye nia ya kuoa zaidi ya mmoja ni wachache.Uzi ushakuwa wa.muda mrefu sana vipi mkuu dada keshapata mwenza?
Nataka nije[emoji2958]
kama kuna mkiristo au hata muislam ambae dini sio kikwazo niunganishe naeMpaka leo bado.Waliojitokeza wengine wana mambo ya kimbea mbea.Eti kwa nini uliachwa. Na wengine inaonekana ni wahuni.Walidhdni na huyu dada yangu naye ni kama wao. Na kubwa zaidi ni kwamba wanawake wanaotaka waume ni wengi si dada yangu tu wakati huo huo wanaume wenye nia ya kuoa zaidi ya mmoja ni wachache.
Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe naeSi kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Ikiwa umevutiwa na nyumba kwanza basi hutatufaa.Kwani kwa dini yetu mume ndiye mwenye jukumu la makazi ya mkewe.Hata ukikaa ndani ya nyumba yake itabidi ulipe kodi.Anaweza kwa mapenzi yake akakusamehe kodi au akakufanyia nafuu kama bure.Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe nae
Uzuri wa mwanzo wa dada anaweza kuujua kaka na ukawa sahihi kutabiri uzuri wake wa ndani. Unamuona sura yake ambayo hupaswi kufaidi chochote katika hiyo.Na kwa vitu vya ndani kama anavyokuheshimu wewe ikawa ndivyo atakavyomuheshimu mumewe.Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe nae
. Huu uzi nikiusoma siku unewekwa nkajua dada yuko serious. Kwa bandiko lako hili huyu ni mdangaji.Mkuu unamaana gan unaposema nia nzuri? Mimi ni miongoni mwa watu waliojitokeza pm yako na nikaweka sifa zangu lukuki ili maswali yasiwe mengi na baada kama wiki moja mhusika (dada yako) alinipigia simu wakati huo mimi nilikua kazini tena nilikua bize mno hivyo nilimkatisha bila ya kujua kama ni dada yako na kumwambia nitakucheki baadae nipo bize mno.
Lakini nilisahau kuirudia tena ile namba baada ya siku kama tatu alinipigia tena na kuanza kujitambulisha nami nilimpa ushirikiano wa kujitambulisha ila baada ya kuuliza kazi ninayofanya sikutaka kujivunga nikamwambia ukweli aiseee hapo maswali yalikua mengi sana na mwishowe aliahidi atarejea kunitafuta lakini hakunitafuta tena aliingia mitini
Jinsi inavyoonekana dada yako hamtafuti mtu mwenye sifa tajwa bali anamtafuta bwanyenye mwenye kazi nzuri na pesa zake na kama ataendelea hivyo sijui kama atafikia malengo simuombei mabaya huu ni mtazamo wangu tu kwa jinsi alivyonihoji nimejifunza kitu kutoka kwake
Bahati nzuri baada ya wiki moja nimeitwa kwenye kazi inayoendana na taaluma yangu.
VIJANA TUTAFUTE PESA KUOA MWANAMKE ALIYEKUZIDI KIPATO/MALI NI HATARI KWA AFYA YAKO.
Kamtafe msikitiniSi kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.