Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Kwa waislamu kaka kumtafutia dada mme ni halali kweli mkuu au mimi ndio sielewi
Ni halali sana tu, Maana kama ulisoma vizuri utaona ni dada yake karidhia kaka yake amtafutie mme tena Masha Allah kigezo cha ibada kipo apo. Haifai kumlazimisha tu ila akiridhia mwenyewe aaah! Apo hakuna shaka
 
Asalam alaykum!! Mimi niko tayari ila kuna vitu ningependa kujua ni kweli haswaa uyo dadayo ni mfanya ibada au mavazi tu maana nahofia kupoteza dini ya kwa kukosea kuoa.
Lakini kati ya hao pichani yeyote kwangu ewala natumai hilo vazi liko mpaka moyoni but ninae mke na watoto watatu nahitaji sana kupata mke wa pili mchamumgu kama wa awali.
Tafadhali nizingatie
 
wa ALAYKUM SALAAM.
Kwa kadri ninavyomjuwa mwenyewe ni mtu wa ibada.Na ukewenza si tatizo kwake.Masharti yake mengine mnaweza mkakubaliana wenyewe kabla ya ndoa.Nitafute kule wanakokuja wenzako.
 
Ni kweli lakini Oa Mwenye Dini, Mke akiijua Dini ata awe na sura wala shepu ipi lazima Utamfurahi tu kuna Maisha Mengi sana mbali Urembo katika Ndoa.
Uzi ushakuwa wa.muda mrefu sana vipi mkuu dada keshapata mwenza?
Nataka nije[emoji2958]
 
Unamletea nani singo maza?
Kaburi la ex lipo kwani
 
Uzi ushakuwa wa.muda mrefu sana vipi mkuu dada keshapata mwenza?
Nataka nije[emoji2958]
Mpaka leo bado.Waliojitokeza wengine wana mambo ya kimbea mbea.Eti kwa nini uliachwa. Na wengine inaonekana ni wahuni.Walidhdni na huyu dada yangu naye ni kama wao. Na kubwa zaidi ni kwamba wanawake wanaotaka waume ni wengi si dada yangu tu wakati huo huo wanaume wenye nia ya kuoa zaidi ya mmoja ni wachache.
 
kama kuna mkiristo au hata muislam ambae dini sio kikwazo niunganishe nae
 
Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe nae
 
Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe nae
Ikiwa umevutiwa na nyumba kwanza basi hutatufaa.Kwani kwa dini yetu mume ndiye mwenye jukumu la makazi ya mkewe.Hata ukikaa ndani ya nyumba yake itabidi ulipe kodi.Anaweza kwa mapenzi yake akakusamehe kodi au akakufanyia nafuu kama bure.
Kilichobora ni wewe kufikiria makazi yako kwanza.
 
Mkuu unaweza kuuona uzuri wa dada yako kweli. Anyway kwa kua ana nyumba, niunganishe nae
Uzuri wa mwanzo wa dada anaweza kuujua kaka na ukawa sahihi kutabiri uzuri wake wa ndani. Unamuona sura yake ambayo hupaswi kufaidi chochote katika hiyo.Na kwa vitu vya ndani kama anavyokuheshimu wewe ikawa ndivyo atakavyomuheshimu mumewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
. Huu uzi nikiusoma siku unewekwa nkajua dada yuko serious. Kwa bandiko lako hili huyu ni mdangaji.
 
Kamtafe msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…