Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Naelewa unafanya hivi Kwa upendo wa dhati ulionao Kwa dada yako.

Ningeshauri ukaelekeza zaidi Dua zako Kwa Mwenyezi Mungu anaeijua mioyo yetu, mahitaji yetu na pia hatma yetu ampatie Dada mume wa kumfaa.

Hapa JF utaambulia karaha na maudhi mengi kuliko kupata msaada unaouhitaji. Hayo ni maoni yangu. Lakini kama imepangwa mume atapatikana JF, Kila la kheri mkuu.
 
Namna ya uwasilishaji wako umefanya hata wale wenye nia waone kama kuna kejeli hivi ndani yake..
 
Back
Top Bottom