Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Sema ni ww mwenyewe. Acha kutuzuga ina maana mpaka amegraduate hawezi kujisemea mwenyewe!?
Mimi ni kaka yake na nina wake 4.Mtoto wa kiungwana hawezi kutongoza wanaume.Ameniambia mimi mwenyewe na ameweza kuniambia kwa kuwa baadhi ya siku huwa nachelewa kumpelekea mahitaji
 
Hivi Nyumba aliyojenga mwanamke unathubutu kuingia Ulale usingizi kama Baba wa familia kweli?
Huyo mwanamke ni feminist hawa mara zote hupenda kushindana na wanaume.
Shida ya wanawake wa siku hizi wanataka mwanaume mwenye kazi siku zote na hela ziwepo.
Ukiyumba kidogo kwenye uchumi au kufukuzwa kazi dharau zinaanza ndani ya nyumba.
 
Nenda msikitini mweleze shekhe kuna mtu anataka nusra atapata haraka sana tuu.
 
naamini ni mke mwema kwa jinsi kaka yake unavyoonekana na busara, sema mimi umri wake na wangu almost the same so siyo bahati yangu. napenda sana wanawake wanaosali
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Poa njoo inbox
 
Hongera kwa kujieleza vizuri. Umejifafanua kwa utulivu na heshima ya hali ya juu. Isingekuwa vibaya kuweka picha hapa nina uhakika ungeweka. Ambae hajakuelewa kwenye hii tred ufalme wa mbinguni atausikia radioni tu.
Mimi nimekuelewa mpaka ya ndani moyoni.
 
Naona unamtafuta mtu wa kulea ukoo wenu ila umetumia mbinu kali hastukii mtu hapa
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Salakeee
 
Back
Top Bottom