Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazakh destroyer hivi wewe ndo ulikua unatafuta wa kumnusuru au Nurain mshenga huyu hapa tayari ETUGRUL BEY 😂😂😂😂Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.
Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.
Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.
Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.
![]()
Kwahiyo umeamua kulivaa joho la ukuwadi mwenyeweWewe tu una mashaka na kutokujiamini.Kama ni ulezi utamlea yeye peke yake.Kila mmoja wetu ana kwake na mambo yakiwazidi kwenu tutawasaidia.
We unaenda hapo kufuata mke na kumbuka wewe ndiye kichwa kwahiyo unakuwa na macho manne ili kupata kianzio kutoka kwakeUnawajua wanawake au unawasikia? Hata km ni mkeo uliyepata naye watoto 5 usije kufanya hili jambo la kuishi kwenye aliyojenga. Utanyanyasika sana
Nimefurahi Sana kusikia mtatusaidia huwa tunazidiwaga mara kwa mara tuna mapepo ya ngono muwe mnatupa tu vyapuchi vyenu tuvichakate tunapita mpaka.na vibibi vya ukooWewe tu una mashaka na kutokujiamini.Kama ni ulezi utamlea yeye peke yake.Kila mmoja wetu ana kwake na mambo yakiwazidi kwenu tutawasaidia.
heshima haiuzwiNimefurahi Sana kusikia mtatusaidia huwa tunazidiwaga mara kwa mara tuna mapepo ya ngono muwe mnatupa tu vyapuchi vyenu tuvichakate tunapita mpaka.na vibibi vya ukoo
Iam sorryheshima haiuzwi
Kumbuka hapo ana mtoto kwahiyo ana kovu la maumivu kwenye moyo wake. Na usipoangalia ndiyo atakuwa analipiza kisasi.We unaenda hapo kufuata mke na kumbuka wewe ndiye kichwa kwahiyo unakuwa na macho manne ili kupata kianzio kutoka kwake
Mimi nafasi zimejaa kwa Kweli mpk pale nitakapojaliwa uwezo zaidi inshaAllah.. Mimi namuita Akhy hiyo nafasi adhwiimKazakh destroyer hivi wewe ndo ulikua unatafuta wa kumnusuru au Nurain mshenga huyu hapa tayari ETUGRUL BEY 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakubali mm na mke wangu tuje hapo kwake.. na yeye awe mke wa pili..
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Connection Hiyo Ulipo Hakuna Wa Kumpasha Habari NjemaKila lenye kheri