Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Dhana mbaya tu.Mitandao imeletwa na mwenyewe aliyetuumba. Kwenye mtandao unaweza kupata ambacho huwezi kukipata kwengine mitaani na kinyume chake inawezekana.Muhimu anza na dua ukianza kupenda.
Sawa
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Ninayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
 
Kwanini usimuamini mtoa mada, ya nini kudhania jambo?
 
Aah kweli akhy sema haya mambo kwa sasa nimekosa interest kabisa nahisi nimepata tatizo gani sijui, nimekinai tuseme.
Usije
Ninayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
Dhana mbaya hii ,,mtu mwenye akili za sawa hawezi kutengeneza Hilo ombwe
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Mpeleke Afghanistan
 
Ninayoyaona kwenye hili game:-
1. Huyu kijana ni mume wa huyu dada ila kuna sintofahamu kati yao.
2. Huyu kijana anaunda zengwe ili amfumanie mke wake waachane rasmi.
3. Atakayejichanganya Kwa huyu mwanamke atafumaniwa,atapigwa hela na kisamvu kitaliwa.
Hayo ni mambo ya wahuni na hayawezi kuletwa hapa JF yanaishia huko huko mitaani hapa tunasoma visa tu.
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
MashAllah!! 🥰
Mimi Katekista ndiyo basi tena! Nimepishana na gari la mshahara.
 
Back
Top Bottom