Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Yaani unamtafutia mme mario wa humu? Kweli humpendi dada yako.nakuhakikishia mme atakae patikana humu atakuwa na 1200 tu yaani pompolimpo moja na dongolidongoli mbili
Sijafahamu
 
Baada ya kuja huko PM,Teuzi anafanya dada yako au Wewe mwenyewe? mbona inaonekana wewe ndio mhitaji ila unatumia njia ya neno "dada yako"
Yeye ndiye atakayeteua.
 
Mimi ninaye mtu yupo serious ni swal Tano, mcheshi ,, anapenda kila mtu na anatafuta mke anayejua ibada , muislam na ambaye atatulia na ndoa yake.

Sasa swali kwanini dada Ako kaachika kwenye ndoa namba one na mcha Mungu??
 
Siku ya harusi nitatoa mwaliko na picha ya kiaina nitaileta inshaAllah. Hapo ndio utajua mambo ya mtandaoni ni yetu sisi viumbe wa Allah na kila mmoja kwa nia yake.
MashAllah!! Utakuwa umefanya jambo la heri, ili na sisi watazamaji pia tuweze kushuhudia neema za Allah.
 
Humu tunapata marafiki tena hata bila kutumia nguvu. Kati ya hao marafiki ukiamua kupata mke au mume hukosi.
Inategemea Kwa sababu maisha halisi sio hayo tuyaonayo Kuna watu wamepitia shida hadi Kwa Sasa hawaamini yupo hi na sio wote wanadamu wanataka aolewe aheshimike
 
Back
Top Bottom