Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Usikute unatafuta alshabab members
 
Ko unampigia dada Ako kampeni ili achukue Jimbo sio, tunamtaka mgombea aje kujinadi mwenyewe na tumwone kama anawafaa ndugu wananchi au laa, na kwanini isiwe wewe mpaka umnadi dada Ako au amekupa za kupigia kampeni?
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Ukipata mke wa hivi aisee umepata bahati ya kuokota Embe chini ya mnazi

Kila la kheri mkuu kwa sista wako
 
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.

Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali mpaka amefanikiwa kujenga kijumba chake.

Anachotaka sasa ni mume wa kuishi naye kwenye nyumba yake na kumpatia huduma akitamani kuzaa mtoto mwengine haraka. Mwenyewe huwa nampatia huduma zote muhimu isipokuwa moja ndio naomba msaada.
Umri wake ni miaka 32 na ukewenza si tatizo kwake ilimradi mume awe muwajibikaji.

Sharti moja muhimu la huyo mume mtarajiwa awe ni muislamu na mwenye kufanya ibada vizuri. Ambaye yuko tayari awasiliane nami binafsi ndani ya boksi tuone wapi pa kuanzia.

Dada mwenyewe ni mmoja katika hao hapo chini.

360_F_210510641_C3KC65UupFXlgrkX0rv9hv1ZAuSCb1Ld.jpg
Hao watu wa madrasa Ni kuchakata tu
 
Mungu akupe haja y moyo wako kwa hitaji la dada
Kwa wanawake kukosa mume imekuwa ni mtihani sana
 
Back
Top Bottom