Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,846
Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu.
Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application ya jf!

Wasifu wake
Jina: snowhite
Kabila: zamani alikuwa mhaya ila kabadili kawa mhadzabe siku hizi
Dini: Anasali kwa Gwajima
Umri: Wa kutosha kuolewa
Rangi: Ya chungwa
Maeneo anayopenda kutembelea: MMU, Chitchat, kidogo na kule chini kabiiiiisa

c.c EMT, Fixed Point, Mr Rocky, shansarie, Bujibuji, Erickb52, Baba V........
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri akipata Bishanga atatuonyesha aliko. .
 
snowhite, yupo shamba hakuna network;
profilepic96061_3.gif
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa SnowBall huyu hata mimi sijamuona longtime....nahisi atakuwa kawekwa unyumba mahali
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe ndo unaua kabisa..ukute kweli aisee
Au yuko kwenye ukaguzi wa babu Asprin??

Hata yeye muda mrefu sana kapotea Jukwaani.

Connect dots.... Utapata jibu.
 
Last edited by a moderator:
Duh...sasa kama kawekwa unyumba tumekwisha..manake sio wa leo huyu..
KIBANGA kasema anamuonaga kule chini kabisa..
Au kaenda Goma kusherehekea ushindi wa JWTZ dhidi ya M23??

Hahahahahaaa SnowBall huyu hata mimi sijamuona longtime....nahisi atakuwa kawekwa unyumba mahali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom