Hata yeye muda mrefu sana kapotea Jukwaani.
Connect dots.... Utapata jibu.
Sasa si angeniaga jameni...
Kukaa kimya ndo anazidi kunichanganya..
unatumia kinywaji gani Daudi!
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwih pacha mimi hapa nimekuja!
pole kwa kupotea bila kukwambia naenda wapi!
nimekuja pacha!
mweee ulinimisimoooo
poleeeeeeeeeeeeee!
Chonde chonde Heven on Earth ukimuona mwambie home tunammiss kinoma...
Na kama vipi atubip basi...
njoo huku nikwambieuuuuuwiii...usemege bana!
Nini sasa kutiana tumbo joto..
Ulikuwa wapi vile?..(ninong'oneze vinginevyo ntakusemea kwa mama)
Hivi kule chini hujawahi kwenda pachaangu?
Mbona KIBANGA kasema alikuona??