Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu.
Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application ya jf!
Wasifu wake
Jina: snowhite
Kabila: zamani alikuwa mhaya ila kabadili kawa mhadzabe siku hizi
Dini: Anasali kwa Gwajima
Umri: Wa kutosha kuolewa
Rangi: Ya chungwa
Maeneo anayopenda kutembelea: MMU, Chitchat, kidogo na kule chini kabiiiiisa
c.c EMT, Fixed Point, Mr Rocky, shansarie, Bujibuji, Erickb52, Baba V........
Mara kibao namuona na Evelyn Salt kule jukwaa la mambo yetu yale....
Last edited by a moderator: