haziconnectiki ujue!hata usijihangaishe mwaya!
kwani ulijificha wapi mlongo wangu?uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwih pacha mimi hapa nimekuja!
pole kwa kupotea bila kukwambia naenda wapi!
nimekuja pacha!
mweee ulinimisimoooo
poleeeeeeeeeeeeee!
Ulikuwa hujui..mie nimetafuta tuition kwengine mpaka hapo baadaye..
kwani ulijificha wapi mlongo wangu?
za lelu!
ohooo.......kumbe.....
Ulikuwa hujui..mie nimetafuta tuition kwengine mpaka hapo baadaye..