Namtafuta pacha wangu wajameni...nani kanioneamo??

nadhani watakuwa walikuchanganya na mtu mwingine.....
huko huwa hatuendagi mbona

SI NDIO hapooooo !
ila dada mkubwa pacha kaondoka bila kuniruhusu niseme nilikuwa wapi
yani ye kasema tu nimekusamehe!
sasa si atakuwa kanisamehe kosa na kwenda kule chini wakati mi huwa sikwendi!
mi nataka anisamehe kwa kosa nililofanya banaaaaaaa
mbona hanipi muda wa kuielezea
nisaidie kuniuliziamo kwa SnowBall
mi sitaki kusamehewa kosa nisillolifanya ujue!
 
Last edited by a moderator:

ha haaaa, hatujui sisi nadhani huyu pacha wako....
sisi ni wepesi sana wa kusamehe, but tunataka tujue kosa tunalosamehe.
sasa yeye anasamehe bila kujua kosa? sasa amesamehe nini?
 
si ndio hapoooooo
pachaaaaaaaaaaaaa I NEED AN AUDIENCE!
huwezi tu kusema umenisamehe wakati hujui nimekosea nini!
MI SIKUBALI! SnowBall ukuje uniruhusu niseme nilikuwa wapi!
manake watu washapakaza sana hapa!
af dada mkubwa leo ndo nimejua wabaya wangu wakiongozwa na binamu yako sijui mdogo wako Erickb52 ye ndo kasem mi nimewekwa kinyumba!
pacha wangu kanuna!manake hajapokea libeberu sasa nawekwaje kinyumbaa!
 
Sasa ndio useme ulikuwa wapi maana haiwezekani pacha wako asijue ulikuwa wapi siku zote hizo eboo!
Nimemmiss sana dada yangu Fixed Point
Ni zamani sana tangu nionane nae...pia wewe snowhite ulipotea sana....tafadhari rudi usipotee sana
 
Last edited by a moderator:
EMT bana ni partner wangu !
pacha kwanza inabidi nikukutanishe nae si unajua nina share zangu 50%
sasa if anything happens ujue utapataje gawio lako! EMT NAOMBA AUDIENCE!

Halafu lile file la Mtambuzi umeshalikamilisha ili tuanze kusanya?

Kama bado fanya kifastjet basi maana si unajua tena Christmas ndiyo kwanza inakaribia?

Sitaki tena uniingize tena kwenye choo cha stendi kama Chistmas ya mwaka jana.

Safari hii lazima niwe na some snowhite and SnowBall on my Christmas tree!

Halafu kuna potential client kwa jina Block City anataka aunganishwe kwenye kesi kama mlalamikaji.
 
mhm! twin yamekuwa hayo tena jamani
halafu umemuona wapi uyule aliyenitapeli kamchina kangu \
nataka nifungue jalada lingine jipya kwa ajili yake mlishamkamata?

Back
Top Bottom