Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Na kweli kaniwehusha nimekua chizi kupitiliza..ila nadhani umeona mtiririko ulivyokua mtani... nilivumilia toka mwanzo ila duuh nikashindwa...bora mnione chizi kwa leo..
 
Uyo dada atakua anaumwa huyo si bure.
 
Ana mtoto? Ana vitabia vyovyote vya ufermist?
 
Mbona haujaweka kigezo cha elimu kwa mwanaume anayemuhitaji?
Aaa okey..mwanaume awe na kazi yoyote ya kusaidiana elimu hata akimzidi au kuwa kama yy au chini yake...ni awe anajitambua tuu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] be humble hv karbun uzi utakuja n 90 we kunasa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo nakwambia lazima nitoke na ushindi naikitokea nikawa siko hewani usisahau kunitag mkuu
SIKATAI NDOA😁
 
Mwambie apunguze vigezo na asijifungie ndani, vingine vyote kutoka kwake ni uongo
 
Siamini katika haya uliosema na hizi ni fikra zako...Mimi nitabakia na misimamo yangu suala la kudate na vibiriti ngoma vya mtandaoni hapana..Ni total useless
 
kila mtu na choice zake,waache wanaopenda 'show off' wafaye yao,wewe fanya yako.
Siamini katika haya uliosema na hizi ni fikra zako...Mimi nitabakia na misimamo yangu suala la kudate na vibiriti ngoma vya mtandaoni hapana..Ni total useless
 
Huyo kashapigwa na kitu kizito...kwanza badala atoke kwn uzi usiomuhusu anazidi kuleta ma negative yake hapa sasa anafanya nin...anawaonea wivu wanaopata humu au?? Sijamwelewa bado...
 
Sio unamlinda shoga yako hapa?
Siwezi kumlinda wala kumuamulia muoaji au atajaejitokeza hayo watajuana wenyewe..
Ni rfk yangu kweli nampenda ila kwny ishu sensitive kama mahusiano ni wao wa2 so naelezea yale nayoyajua..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…