Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Wa huko nao wanaweza wakamuuliza, huko JF aliko na marafiki hakuna anayemtaka?Aisee kwa hiyo huko mtaani Kazini hakuna kabisa wanaomtaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa huko nao wanaweza wakamuuliza, huko JF aliko na marafiki hakuna anayemtaka?Aisee kwa hiyo huko mtaani Kazini hakuna kabisa wanaomtaka
Nisaidie besty...sio husband matirio anakuja kuharibia wenye interestUsiingie ndoani basi mkuu na wanawake wa mitandaoni mbona simple!!!...yaani ulivyoingia kwenye hii mada na michango yako kwenye hii mada hata wewe sio hazibandi matirio...
Anita hakuna muoaji humu bwana we!Unakosea ku judge,your fear shouldnt cloud your judgment,mtafute,ukiona unachunwa si unaacha tu...uoga wako usikufanye uka miss hii opportunity iliyoji present itself...
Huku hamnaga taarifa za mialiko ya harusi wala, ni watu wakipatana na wakiachana tu.
Kila laheri mkuu.Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.
Sifa zake;
- Mweusi
- Urefu Size ya kati.
- Ana elimu ya degree.
- Ana kampuni yake.
- Ana maisha yake anajitegemea.
- Ana hofu ya Mungu.
- Anaishi Dar es salaam.
Sifa za mwanaume amtakae;
- Yoyote mwenye kujielewa.
- Mwenye kufocus na maisha.
- Umri miaka 35 na kuendelea.
- Dini mkristo.
Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Ni domo zege mtaani mpaka huku kunakohitaji keyboard tu?? Mnh......Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.
Sifa zake;
- Mweusi
- Urefu Size ya kati.
- Ana elimu ya degree.
- Ana kampuni yake.
- Ana maisha yake anajitegemea.
- Ana hofu ya Mungu.
- Anaishi Dar es salaam.
Sifa za mwanaume amtakae;
- Yoyote mwenye kujielewa.
- Mwenye kufocus na maisha.
- Umri miaka 35 na kuendelea.
- Dini mkristo.
Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.
Si ndiyo ana rafiki wewe unamsaidia kutafuta..!!!Huyo hayuko JF bana...
Musundi naomba kujua jinsia yako tafadhari.Ni domo zege mtaani mpaka huku kunakohitaji keyboard tu?? Mnh......
Amina..!!! Maana imajini anampata wale wa KATAA NDOA..!!Mungu amsaidie apate wa kueleweka mkuu
Ni haki yangu kama mwanaume kutimiza wajibu wangu wa hitaji la ndoa ingawa sio kwa aina ya wanawake wa mitandaoni ni heri ni kabaki single for a short time huku nikiendelea kutafuta yupi wakweli na sahihi kwenye mahusiano yangu hata kwenye malezi ya wanangu.Usiingie ndoani basi mkuu na wanawake wa mitandaoni mbona simple!!!...yaani ulivyoingia kwenye hii mada na michango yako kwenye hii mada hata wewe sio hazibandi matirio...
Lakini kumbe sisi ndo tuko tayari kwaajili ya ndoaSisi wa 90s wanatukataa
Wanasema tunanukia maziwa[emoji28]
Ukiwa unaoga, hasa hivi vyoo vyetu vya uswahili, umeweka nguo kwenye ukuta wa bafu kwa juu, akaja kichaa akachukua nguo zako na akakimbia nazo, ukimkimbiza huku upo uchi, wa mbele anajulikana kuwa ni kichaa wa kila siku, lakini wewe uliye nyuma utaonekana ni kichaa mpya..!! Tena afadhari wa mbele amekumbuka kuvaa nguo. Wewe wa nyuma utaonekana ni kichaa namba E na kimekupanda kiasi cha kutojua umuhimu wa kuvaa nguo..!!!He goes beyond the limits mkuu...
Picha tafadhariShe is cute kwa macho yangu labda ww unaweza ona tofauti.
Mbona haujaweka kigezo cha elimu kwa mwanaume anayemuhitaji?Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba, yeye sio member humu, kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri; yeye ana umri wa miaka 31 na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake.
Sifa zake;
- Mweusi
- Urefu Size ya kati.
- Ana elimu ya degree.
- Ana kampuni yake.
- Ana maisha yake anajitegemea.
- Ana hofu ya Mungu.
- Anaishi Dar es salaam.
Sifa za mwanaume amtakae;
- Yoyote mwenye kujielewa.
- Mwenye kufocus na maisha.
- Umri miaka 35 na kuendelea.
- Dini mkristo.
Kwa yeyote ambae yuko tayari a PM nimpe namba waweze kuwasiliana, nitawasaili kwa niaba.