Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Nashangaa sana hii kitu mtu anasema mtaani hajaona kabisa anakimbilia huku.....

Yaani mtu mmoja atakutana na za uso sasa hivi....
 
Hahahahahahaaa!!! CCM inapenda mambo Kama haya kwa vijana wa taifa hili.
 
Nashangaa sana hii kitu mtu anasema mtaani hajaona kabisa anakimbilia huku.....

Yaani mtu mmoja atakutana na za uso sasa hivi....
Mbona ni kawaida na ushahidi humu upo watu wanapata??
Acha wenye bahati wabahatishe..
 
Tulia tugawane madanga acha tantalila naona umeishiwa pedi baada ya kufumuliwa mtaro wako sasa umekuja kwa njia nyingine ili upendwe humu na wanaotaka kuoa...acha kujichekesha hovyo ushaharibikiwa

Aunt Kalpana achana nao.. maisha mafupi haina haja ya kuji stress na watu washali washali..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…