Mkuu nisikilize, ukiona jambo nalisemea jukwaani ujue linaishia hapo hapo.Hutaki kuwa mkurugenzi mwenza wa kampuni?
Alafu kule kwingine kuliendaje pm? Mambo yanaridhisha?
PM iko wazi.Fanya hivi;
Nitumie picha yake kule nitakusaidia kuwaelezea wasioamini😂
Dah! Sifa ya kujielewa imenitoa kwenye kinyang'anyiro.Nina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...
Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Unataka kuzama?🤣PM iko wazi.
Huyu vigezo vyake vinahimilika hana mambo mengi sio wale wa funguo tatu. Inaonekana anataka tu wa kuishi naye wa kumsugua K ainjoiSifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Hilo siyo swali mkuu. 😀Unataka kuzama?🤣
Basi mm ndo nimechemka hapo ni mm ndo nimemuandikia kuongeza manjonjo...kwa sababu ndo kazi yake..kumbe ningesema amejiajiri
Kataa ndoa sasa imekuja version ya mwanaume kubali dili la kuolewa khaaa ni manoma manoma tuNina friend angu ameniomba nimtafutie mchumba...yeye hayumo sio member humu..kuna watu baadhi nimeshamconnect nao wa humu but problem ni umri..yeye ana umri wa 31 yrs na anataka mchumba mwenye umri wa juu yake...
Sifa zake
-Mweusi
-urefu Size ya kati
-Ana elimu ya degree
-Ana kampuni yake
-Ana maisha yake anajitegemea
-Ana hofu ya Mungu...
-Anaishi Dar es salaam
Sifa za mwanaume amtakae
-Yoyote mwenye kujielewa
-mwenye kufocus na maisha
-umri miaka 35 na kuendelea
-dini mkristo
Kwa yeyote ambae yuko tayari nimpe namba waweze kuwasiliana..nitawasaili kwa niaba..
Hapo kuna uzuri na ubaya wake...Ungesema amejiajiri. Maana kampuni inaonesha ana maisha makubwa kwa watu wengine . Huku tunaojua ukweli tunajua dada ana hustle tu.
Pia expectations zisiwe kubwa kwa suitable candidate
Downers huwa hamkosekani! 😏😏Mwambie afunue Bible asome ISAYA 4:1 kwanza alafu alafu ajitafakari then... Aendelee kucheka
Nasikia siku hizi mada za wachawi zinajadiliwa sana na vijana, wanadhani na kuhisi wanarogana wao kwa wao kwamba wachawi sio wazee tena, kuna ukweli hapo?Downers huwa hamkosekani! 😏😏
Bila picha sifa hizo ni batili
Ebu sogea sogea mpaka kwenye Sura ya 34:16Nasikia siku hizi mada za wachawi zinajadiliwa sana na vijana, wanadhani na kuhisi wanarogana wao kwa wao kwamba wachawi sio wazee tena, kuna ukweli hapo?
Sometimes hakuna anaekuroga zaidi ya kujiroga mwenyewe fungua Bible soma Isaya 4:1 ufungue akili yako wakati umekaribia ambao wanaume watatafutwa kwa TOCHI na wasipatikane kabisa,
Sasa ikiwa unaishi na watu vizuri utakosaje marafiki bladii.Mkuu we chama kubwa
Kila mtu humu ni ur furendi
Hongeta