Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Kila laheri mkuu.
Utapata chaguo la moyo wako
 
Ni domo zege mtaani mpaka huku kunakohitaji keyboard tu?? Mnh......
 
Usiingie ndoani basi mkuu na wanawake wa mitandaoni mbona simple!!!...yaani ulivyoingia kwenye hii mada na michango yako kwenye hii mada hata wewe sio hazibandi matirio...
Ni haki yangu kama mwanaume kutimiza wajibu wangu wa hitaji la ndoa ingawa sio kwa aina ya wanawake wa mitandaoni ni heri ni kabaki single for a short time huku nikiendelea kutafuta yupi wakweli na sahihi kwenye mahusiano yangu hata kwenye malezi ya wanangu.
 
He goes beyond the limits mkuu...
Ukiwa unaoga, hasa hivi vyoo vyetu vya uswahili, umeweka nguo kwenye ukuta wa bafu kwa juu, akaja kichaa akachukua nguo zako na akakimbia nazo, ukimkimbiza huku upo uchi, wa mbele anajulikana kuwa ni kichaa wa kila siku, lakini wewe uliye nyuma utaonekana ni kichaa mpya..!! Tena afadhari wa mbele amekumbuka kuvaa nguo. Wewe wa nyuma utaonekana ni kichaa namba E na kimekupanda kiasi cha kutojua umuhimu wa kuvaa nguo..!!!
 
Mbona haujaweka kigezo cha elimu kwa mwanaume anayemuhitaji?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…