Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Subiria uwe mshangazi
 

Ni kipi kikubwa kinachokupendeza au kukuchukiza kwa huyu mwanaume? hela, mapenzi, muonekano au nini? maana ukiondoa hicho inaonekana unakuwa humtaki tena au unamtaka kwa hicho tu.
 
Vyote vinanipendeza tatizo hapo hamu zikiisha simtaki mpk nikipata tena hamu..!!
Ahaa basi hii inaweza kwisha kama mtakaa pamoja mkazoeana. Naamini kwa sasa mko mbali mbali, mkiwa karibu zaidi inaweza kuisha. Ukitilia maanani huyu mwanaume unampenda ila ni hali ya kutaka kuwa mwenyewe tu inakusumbua.
Dawa hapa ni ndoa tu... 😉
 
Kwahiyo wewe unamtaka mtu wa aina gani
 
katika uumbaji na kiasili pia iko hivyo kwa baadhi ya watu na makabila yao,
kwamba baada ya tendo baadhi ya binadamu hawatamani tena kuendelea kua pamoja katika mazingira yale ya mnyanduano mpaka pale tena watakapokua na ugwadu wa kushiriki mnyanduano mwingine siku zingine.

infact,
mwanaume akisha ishuhudia mbususu ya mwanamke ilivyo chakaa au vinginevyo na kisha kuinyandua,
kitakachomfanya aendelee kubaki nawe, kukuoa au kukupiga chini tabia na mienendo yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…