Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Labda unapenda ulemavu wa maumbile aliyonayo..

Kama ushazoea kusaga kwenye mechi wa kinu basi Brenda haisaidii. kitu.
Mkuu hiyo michezo sina, naona hujanielewa. Hata hivyo asante kwa kushiriki kutoa ushauri..!!
 
Nijipigie promo kwani natafuta mume hapa?
Tatizo mshazoea nyie kujaza bus za mwendokasi mnajua wote tuko hivyo..!! 😹😹

Body count yangu hata top 3 sifikishi..!😜
 
Na akili zinaniruka likitajwa lako jina sio siri na weuka ubaridi mwili mzima

Oya mzee wa hall v sumbai huyu mtoto kanishika sana. Ukisikia kupatwa kwa chino ndio huko.
Chino wangu 😍
Hivi chino huwa unapotelea wapi? 😹

Hapa kurudi tena mwezi wa 4.!
 
Mkuu hiyo michezo sina, naona hujanielewa. Hata hivyo asante kwa kusihiriki kutoa ushauri..!!
Nimekuelewa sn mkuu..
Inamaana jamaa humpendi ila Kuna kipindi unamiiss.

Ndy nikasema labda unapenda maumbile yake.
Maana kama humpendi una miss nn kwake?
 
Body count yangu hata top 3 sifikishi..!😜
Basi uko vizuri, mwanamke sio kugawagawa tu ili mradi unagawa. Wengine akisifiwa tu anagawa. Achana na wale kitega uchumi.
Nijipigie promo kwani natafuta mume hapa?
Kwa hili ukweli unaujua mwenyewe moyoni mwako. Kwakweli siwezi kujua yaujazayo moyo wako🤫🤫🤫
Tatizo mshazoea nyie kujaza bus za mwendokasi mnajua wote tuko hivyo..!!
Mwendo kasi, daah, moja, mbili tatu........ Mia tatu kwa yale marefu. Karagabhahoooo😎😎😎
 
Heri ya yeye anapata mbunye mi niliambiwa kuliko kugongwa na mie bora agongwe na fuso afe 😩 cjarekava
😹😹😹 Dah!! Ila wewe jamaa umefanya nicheke bila kutarajia..!!
 
Mimi sina mengi Lamomy zaidi ya kukupongeza kwa kutokuja na ID mpya.

Ila itakuwa kuna aina ya mpenzi unaitafuta na bado hujaipata, ila sio mbaya ukibaki kidogo na huyo anayekufikisha ila siku akikupa mimba nahisi utajilaumu sana.
 
😹😹😹 Asante, nikipewa mimba pia nitashukuru si naongeza binadamu mpya duniani..!!
 
Mimi sina mengi Lamomy zaidi ya kukupongeza kwa kutokuja na ID mpya.

Ila itakuwa kuna aina ya mpenzi unaitafuta na bado hujaipata, ila sio mbaya ukibaki kidogo na huyo anayekufikisha ila siku akikupa mimba nahisi utajilaumu sana.
Ila Lamomy nimeanza kukupenda, ila wewe hujajua tu, ila napotezea, ila..... ila......ila ndio hivo🤣
 
Ila Lamomy nimeanza kukupenda, ila wewe hujajua tu, ila napotezea, ila..... ila......ila ndio hivo🤣
Wewe jasiri wenzio wananiogopa humu ninavyowapiga spana, hawataki hata kunikaribia..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…