Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Tatizo lako najua tiba yake..Sito elezea hapa ukitaka MSAADA tafuta namna nikufikie..it's a serious note.

In short tupo nae kwenye industry moja wakati na graduate my second degree nilisoma kwenye very tough environment so nikiwa nimepost picha za graduation late night ndipo nilianza kuchati ilikua just waooo..

Watu wengi hawakuamini Kama niliweza kusoma masters na kugraduate kwenye Yale mazingira na wazifa nilio kua nao...siku fanya plagiarism yeyote.

Yule dada alikua Kama wewe...yeye alikua na biashara zake..yupo independent..hatuombani pesa..tunasaidiana pia bills tunalipa kwa kushirikiana..alikua tukimaliza show anavaa anawasha gari kwa hasira kila mtu anasepa kwake..

Majibu ya swala lako ninalo
 
Mh! we itakuwa historia yako ya mapenzi hapo nyuma inaonekana uliumizwa sana!, hivyo sasahivi umebaki upwiru tu, hisia wana wameshazivuruga!.
jipe muda utapenda tena ila hilo jamaa lasasa kama linaakili likaembali maana unaliona kama embe ng'ong'o tu!
 
Lamomy ulishamwambia huyo kaka humtaki..... lakini huwa una hamu nae?

How?

Najiuliza kama simtaki mtu nakuwa na hamu nae kiaje? Na nikiwa na hamu nae wakati nilishamwambia simtaki namtafutaje?
Mimi sio wa mtu wa kuwa na mahusiano na watu hovyo hovyo, nikipanga kukubali mtongozo mwingine nikifikiria hali niliyonayo naahirisha..!!

Au naweza nikamuelewa mwanaume vizuri ila akipanga tukutane najiandaa vizuri halafu baadae najiuliza maswali magumu magumu basi nafikia hitimisho nazima simu nalala..!!

Kuhusu huyu nampenda ila ndio hivyo tendo likiisha na chuki inaibuka sitaki hata kumuona..!!
 
Babu kwa ninavyomfanyia na kumwambia naona km na yeye kagoma kuniachia..!!
 
Time heals everything
Ego has killed so many talents
Am out!!
 
1. Kabla yake inawezekana kuna mtu mliahidiana kuoana ukawa umemkataa, hvo kakuvuta miguu huyo w sasa huwezi muona wa maana.. kama si wewe basi ni yeye kafanyiwa hvo, inawezekana hata kazin ni wa kukataliwa.
2. au inawezekana una wachumba zaidi ya mmoja na kwa hali hyo hujawekeza upendo kwa yeyote.
3. mizimu ya kwenu haijamkubali au upande wao, fkria wakati mnadinyana unaweza kuta unawaza kwingne na mawazo yanaenda kwa mtu mwingne yamkini usiye mjua.
4. nyie hamfanyi mapenzi huwa mnafanya ngono{hamshrikishani mambo yenu na kila mmoja hamuamini mwenzake, bila viungo vyenu ndo vinaaminiana.}
FANYA YAFUATAYO.
1.kama unampenda na si kumpotezea muda, andaa out moja kwa ajili ya mazungumzo ya kuwekana sawa na kuondoa tofauti zenu.
2. omba kwa imani yako.
3. punguza michepuko kama unayo.
4. kama unapenda muoane, washrikishe wazazi hususan mamako, na muweke waz kwa hyo hali inawezekana ni mambo ya ukoo.
5. punguza kujikweza na punguza hasira.
6. epuka mawasiliano ya kwenye simu kwenye ishu ngumu, nenda live.
 

Upo Sawa lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…