Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

Kauli za unamjua baba yangu zipo katika maisha.. unanijua mimi nani?
Na huwa zinaangalia mazingira.
Either kwenye wema ni ili tuheshimiane au tusaidiane.
Kwenye ubaya ili uwe na hofu na mimi.
Hata ukiwa umelewa au kichaa..
kijana sio chizi huyo kama alitamba hadi matusi. There was something wrong somewhere and hakupendezwa nacho.
Simbachawene ni baba.. baba wa yoyote angesema maneno hayo. (Ila sio baba yangu😂😂😂).
Kinachoendelea sasa mzee atakua kashapata full story na huyo ni mwanae. Na kama wameongea.. trust me.


NO BODY WILL F***ck WITH THAT GUY.
Yameisha na polisi ndio wanamakosa.
 
Nilidhani "Element" ni kinywaji. Kumbe "Element" Ni Night Club.
Lakini akiebdesha while drunk ni kosa. He can harm others or harm himself.
Wanavyofanya hawa punks,walevi,siku hizi,Ni kwamba,wanaelewa halafu WANALALA Bar. Halafu asubuhi wanapokuwa sober,wanapenda nyumbani. Huyu jamaa alipaswa kufanya hivyo.
Lakini I agree with you. Simbachawe amnusuru huyu kijana,kwa sababu hakuna mtu aliyeumia pale. Na ukimdhalilisha huyu kijana,ukimtomasa huyu kijana huko mahabusu,unaichafua Serikali yote.
Lazima uelewe kuna Class Struggle na wapo watu wengi wanaweza kuwa na hamu ya kumdhuru Waziri.
Lakini hawa vijana wajihadhari na hiki kinywaji kinachoitwa "Spirit of the Nation" Hicho kinywaji mi hatari kwa taifa. Vijana wajihadhari na pombe kali.
 
Kwahiyo Watoto wa Viongozi ndiyo wanatakiwa kupewa Heshima na Kuogopwa, ila Sisi wa Makabwela tunatakiwa tudharaulike, tunyanyasike na tuteswe?

Huna Akili.
 
Wanatumia mbinu ya kumtia mtu hasira ili ureact uingie hatiani waanzie hapo
 
Mkuu umemaliza!! The saga is closed!
 
Mtoto yuko sahihi kila alichofanya (maana alikua kalewa)

Polisi walikua na makosa mwanzo hadi mwisho (maana akili zao zilikua timamu)

Kila walichofanya walidhamiria na walifanya kwa nia flani,tofauti na mtoto naweza sema kila alichofanya ni effect za Pombe.
 
Hakika baadhi ya askari ni waovu. Yaani ukikataa rushwa yaani kama huna cheo basi wanakubambikia kesi kubwa.
 
Basi kosa linahamia kwenye kuendesha gari wakati umelewa[emoji28]
 
Point kubwa sana Waziri anajikosha ili alinde kibarua chake anasahau kuwa uwaziri una mwisho Sasa subiri yamkute ndio atagundua kosa lake pole sana kijana
 
Mh. Simbachawene iwapo video ya kijana huyu kwenye press release ya polisi angekuwa kijana wako na wakamrekodo video fupi ya kumdhihaki na kumchokonoa ili atukane au aonekane mbishi na huku walishampiga huko nyuma na kaonesha ushirikiano je angeagiza ashughulikiwe
 
Chawene amezingua sana.
Alitakiwa afike polisi na kumhoji kijana wake pamoja na hao askari angepata ujweli kabla hajamkaanga kijana
 
Wabongo bhana mtu kalewa wanataka iwe story kisa mtoto wa mkubwa mbona walevi bara barani kibao tuu na wanatukana yeyote bila kujali ni askari au balozi ili mradi ukanyage miguu yao tu...
Si ndiyo hapo....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…